Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Baada ya miaka mingi, leo ndiyo nimebahatika kumwona

Kwa niaba ya mzee mwenzangu ERoni nitakuja kumsimulia vile tulivyo na wajukuu warembo

Imebaki kukuona wewe tu mjukuu
na umwambie awe anakaa standby ili asipitwe hata kula kwa macho tu
 
Hapa akija muoaji, bila koti la babu kutoka Italy siruhusu mjukuu kuolewa

Mjukuu anaweza kufanya wazee tupoteze network kabisa😎
kajua kukuvuruga babu yangu,, poleee nani alikutuma uzaliwe miaka ya 70 huko😆😆😆 saivi ungekua unajitafunia mifupa
 
kajua kukuvuruga babu yangu,, poleee nani alikutuma uzaliwe miaka ya 70 huko😆😆😆 saivi ungekua unajitafunia mifupa
Kwa kweli wazee hatuna bahati kabisa, tungekuwa tuna meno tungejitahidi hata kidogo....ila kwa uzee huu ni kula kwa macho tu 🙌
 
Back
Top Bottom