win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,033
- 30,794
hebu tuone kama kweli😎Mimi nimezeeka kila kitu mjukuu 😂
hebu tuone kama kweli😎Mimi nimezeeka kila kitu mjukuu 😂
Kaaa tayarnipo sameja hebu pita🤗
Niletee kiko uone 😜hebu tuone kama kweli😎
akuuu mimi na udaktari wapi na wapi mahiiiNawe ndio daktari wake
Nikajua niwewe ni screen shot kumbe tumepigwa na kitu KIZITO BUTU..😌😊Wajukuu wenyewe 😅😅
nipo chonjoKaaa tayar
hahahahahaha nimechekaNikajua niwewe ni screen shot kumbe tumepigwa na kitu KIZITO BUTU..😌😊
sema su🤗😅Niletee kiko uone 😜
Hao ni genz eehWajukuu wenyewe 😅😅
itakua kweli ndo maana ulikua unagawa laki kwa kila mshindo😅😅😅😅Labda kwa baadhi ya wazee wenzagu, ila kwangu ni tofauti kabisa
Hata siku ukiniletea kiko, ndiyo utahakikisha kwa macho 😜
Hahaha.....we niletee tu 😂sema su🤗😅
unarithisha kila kitu😅😅Hao ni genz eeh
Kwasisi wazee tukikutana na hizo kazi tunaweza tukatekwa mazima yaani 😂
PoleMimi nimezeeka kila kitu mjukuu 😂
Umeanza eehitakua kweli ndo maana ulikua unagawa laki kwa kila mshindo😅😅😅😅
Sisi tumeshazeeka 😂unarithisha kila kitu😅😅
nikikumbuka huwa nacheka kama mwehu😅😅😅😅Umeanza eeh
You don't want peace kwa wazee 🙌
😂😂😂🙌Pole
mimi ndo nitaleta ushuhuda ila kwa saivi tulia hivyo hivyo babu kijana👌😎Sisi tumeshazeeka 😂
Hujawahi kuona niki selfika kumbe 😅😅Nikajua niwewe ni screen shot kumbe tumepigwa na kitu KIZITO BUTU..😌😊