Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,354
- 62,248
Humu kuna hadithi nyingi za kutunga na kufikirika, ukizitilia maanani kwa umri wetu unaweza kupandisha kisukari bure 😂nikikumbuka huwa nacheka kama mwehu😅😅😅😅
You don't have to worry, all is good heresorry kama nimezingua