ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,219
- 40,727
Hab piga picha ukiwa umeweka huo mkono tuone 🤪Hakuna haja ya kusema uongo kwenye hilo, yaliyomo yamo mjukuu
Hukuona nilivyoweka mkono mfuko wa mbele wa suruali kuepuka aibu ndogondogo
Hab piga picha ukiwa umeweka huo mkono tuone 🤪Hakuna haja ya kusema uongo kwenye hilo, yaliyomo yamo mjukuu
Hukuona nilivyoweka mkono mfuko wa mbele wa suruali kuepuka aibu ndogondogo
Kesho mapema utaona picha yangu, ngoja niperuzi kwenye albamu yangu 😊ya kale yashapita mi nataka currently bwana
Astghafirullah 🤣🤣Yamechoka sana, hayafai kabisa ku-repair!
Nilijua ni huyo wa kwenye avatarKesho mapema utaona picha yangu, ngoja niperuzi kwenye albamu yangu 😊
Hahaha.........huogopi lazi za wazee 😂Hab piga picha ukiwa uweka huo mkono tuone 🤪
sitaki bwana,, unajuaje kama kesho nitakua hai?Kesho mapema utaona picha yangu, ngoja niperuzi kwenye albamu yangu 😊
Ya kale zahabuHahaha.........huogopi lazi za wazee 😂
Ni huyo, japo hiyo ni picha ya mwaka 47Nilijua ni huyo wa kwenye avatar
Hahaha.........niletee kiko basi 😜Ya kale zahabu
Jesus 🤣Ni huyo, japo hiyo ni picha ya mwaka 47
Kesho nitaweka ya mwaka 49 😂
Weka basi then niweke piasitaki bwana,, unajuaje kama kesho nitakua hai?
Analeta huyu win-one 🤣Hahaha.........niletee kiko basi 😜
Nawekana vinini guys gudubaiWeka basi then niweke pia
Mtumeee tumekatazwaaaHahaha......mje zamu zamu basi
Anza wewe kuja 😂
Nitazingatia mzee mwenzangu, bahati nzuri jana nilipata dawa nzuri kutoka Shinyanga, nahisi kikao changu na mjukuu kitakuwa chenye mafanikio 😂Mzee mwenzangu hakikisha kazi inafanyika, hata kwa zile dawa zetu, hakikisha pressure iko sawa😅
Kuwa na imani na wazeeMtumeee tumekatazwaaa
Sijui na cheka niniNitazingatia mzee mwenzangu, bahati nzuri jana nilipata dawa nzuri kutoka Shinyanga, nahisi kikao changu na mjukuu kitakuwa chenye mafanikio 😂