Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,333
Japo hujatutumia yako nawe tujioneekwa kweli jamni😆😆
Au huna huruma na wazee tumekuwa macho hadi muda huu na tusione kitu 😜
Japo hujatutumia yako nawe tujioneekwa kweli jamni😆😆
unakula kwa macho alf unameza kwa hisia😆😆😆😆😆 pole sanaKwa kweli wazee hatuna bahati kabisa, tungekuwa tuna meno tungejitahidi hata kidogo....ila kwa uzee huu ni kula kwa macho tu 🙌
nishaselfika mara kibao babu, ila wew ndo hauja thubutu, hebu tupia hata mkono wajukuu tupate baraka zako😋Japo hujatutumia yako nawe tujionee
Au huna huruma na wazee tumekuwa macho hadi muda huu na tusione kitu 😜
Yaani we acha tu...unakula kwa macho alf unameza kwa hisia😆😆😆😆😆 pole sana
situpii mpaka uanze wew babu🤗😇Yaani we acha tu...
Hapa nimeandaa miwani yangu vizuri incase ukatupiamo moja ili babu yako nione
🤣🤣🤣Hapa akija muoaji, bila koti la babu kutoka Italy siruhusu mjukuu kuolewa
Mjukuu anaweza kufanya wazee tupoteze network kabisa😎
Basi sina bahatinishaselfika mara kibao babu, ila wew ndo hauja thubutu, hebu tupia hata mkono wajukuu tupate baraka zako😋
Kesho nitatupia, ila kwasasa fanya unibless babu yakositupii mpaka uanze wew babu🤗😇
Siwezi kukosa koti la babu kutoka Italy, maana kusema kweli yaliyomo yamo 😋🤣🤣🤣
Picha zake ninazo kama hakutumii kwa hiari mi natupiaKesho nitatupia, ila kwasasa fanya unibless babu yako
Bora ufanye hivyo mjukuuPicha zake ninazo kama hakutumii kwa hiari mi natupia
Ataniua aiseeeBora ufanye hivyo mjukuu
Nimevaa tayari miwani ujue 😉
ya kale yashapita mi nataka currently bwanaBasi sina bahati
Self zangu zipo humu za kutosha, ukitembelea pg 17,453 utazikuta ama ukiweza sogea hadi pg 19,320 hivi utakuta
Bab mnafiki huyu🤣🤣Siwezi kukosa koti la babu kutoka Italy, maana kusema kweli yaliyomo yamo 😋
😆😆😆 hata tukiyapiga msasa hayafanyi kazi hata kidogo?Yangu yamezeeka kabisa yani mjukuu!
😆😆😆😆😆Picha zake ninazo kama hakutumii kwa hiari mi natupia
Hakuna haja ya kusema uongo kwenye hilo, yaliyomo yamo mjukuuBab mnafiki
Yamechoka sana, hayafai kabisa ku-repair!😆😆😆 hata tukiyapiga msasa hayafanyi kazi hata kidogo?
tuishi leo babuKesho nitatupia, ila kwasasa fanya unibless babu yako