win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,844
- 30,000
nilikua naikimbilia isiende kwenye mashamba ya watu😆Mifugo tena? Ulikuwa unaiswaga ndani?🤣
nilikua naikimbilia isiende kwenye mashamba ya watu😆Mifugo tena? Ulikuwa unaiswaga ndani?🤣
kwahiyo mmeselfka kimy kimya😭Hebu tujibusti kesho wakeshe wakijadiliana🤣
Sijaona chochote sweet heartShesRise_1 kwahiyo umeshuhudia pich pekeako? nakuona unanicheka tu nyau wew😆
basi nioneshe wew🤭👌Sijaona chochote sweet heart
Niamini😁
Kweli unataka kuona babebasi nioneshe wew🤭👌
ndio mylove😋Kweli unataka kuona babe
Hata siyajui mahi ndio mafuta gani hayo ya kupikia auleo siku yangu imeisha nikiwa natafuta mafuta yangu ya jumbo, nimezunguka maduka na maduka ila wapi, option ya mwisho ilikua kwenye hii pharmacy ila napo hakuna,, nikasema siwezi kurudi nyumbani bure bora nichukue ka picha ka ukumbusho
ShesRise_1 huko kwenu jumbo inapatikana?
Mamboleo siku yangu imeisha nikiwa natafuta mafuta yangu ya jumbo, nimezunguka maduka na maduka ila wapi, option ya mwisho ilikua kwenye hii pharmacy ila napo hakuna,, nikasema siwezi kurudi nyumbani bure bora nichukue ka picha ka ukumbusho
ShesRise_1 huko kwenu jumbo inapatikana?
hauyajui mafuta ya jumbo? lahaula nimesahau wew ni wa kishua😆😆 kijiji kizima tulikua tunajumuika kwenu kuangalia movie ya Yesu kipindi cha sikukuuHata siyajui mahi ndio mafuta gani hayo ya kupikia au
Kwanini unapenda ku act kama mhenga binti sayuni😁
Kiriku : mama nataka kuonaaa👀ndio mylove😋
poa tajeeer vin uko poa?Mambo
Nipo gudi sijui wewe ndugu yangupoa tajeeer vin uko poa?
Subhanallah hivi wewe akhaaahauyajui mafuta ya jumbo? lahaula nimesahau wew ni wa kishua😆😆 kijiji kizima tulikua tunajumuika kwenu kuangalia movie ya Yesu kipindi cha sikukuu
🎶🎶 najitumisha meseji mara mbili mbili anafungua anasoma majibu hayarudi, ila kwa watsp peji zaonesha tiki mbili kujifanya hajaona ilimradi kusudi,,,🎶🎶
same here ila nina maumivu ya moyo nimekoswa mafuta yangu ya mwili aina ya jumbo😭Nipo gudi sijui wewe ndugu yangu
hebu tuwekewe tu tuanze kusikia sauti za kumtoa nyoka pangoniSubhanallah hivi wewe akhaaa
😂😂
Basi tuwekewe pahala pa voice😎
Yeuwiiiii wallah nitafurahi nisikie sauti ya watu fulani😂 ila mie yangu sitatuma akuuhebu tuwekewe tu tuanze kusikia sauti za kumtoa nyoka pangoni