woii hivi kwanini under 25 tunaonekana watoto huku JF?? Wakati wengine kila tukifokewa utasikia "muone kule mama mzima unalala hadi saa hii ungekuwa kijijini umri huo umeshaolewa na una watoto wanne"
halafu unaingia huku JF unakuta mtu anakuita "toto" (nimebana pua
) khaa!!
by the way waliozaliwa kuanzia mwaka 2000 na kuendelea ndiyo angalau tunaweza tukawaita watoto