chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 397
- 1,208
hii isue bado haijawafikia ndo maana nataka wewe utusaidie kuimalizaakuuu hebu jielezee kwa ba mkwe na ma mkwe wako kwanza wakikuelewa itakua imeisha hivyooo👌
hii isue bado haijawafikia ndo maana nataka wewe utusaidie kuimalizaakuuu hebu jielezee kwa ba mkwe na ma mkwe wako kwanza wakikuelewa itakua imeisha hivyooo👌
nafurahi kusikia hivi sweet,, furaha ndo kila kitu kwenye maishaI don't care maa 🫴
Naishi life yangu
Nikwambie I'm happy too much yooo☺️
Nimekutana na chupa ya maajabu 🥰nafurahi kusikia hivi sweet,, furaha ndo kila kitu kwenye maisha
nitoe hela ya maji maana mpka anielewe lazima koo litakua limenikauka mnoohii isue bado haijawafikia ndo maana nataka wewe utusaidie kuimaliza
Wewe hukuwa unakula carbohydrates nyingi😀hebu usinichekeshe🤣🤣, mbona mi nilikuaga naproduce ka kitu kaduchuuuu
Kadogo kake na coy mc! Bado kadogo hakajachanganya bado😅 kila mtu anakapenda!loh, kama umekaamini basi sikupingi itakua kweli🤦♀️,, sema kanainjoy alf hakana mambo mengi,, nakapendaga bure😊😆
wapi tena, na ina maajabu gani bintNimekutana na chupa ya maajabu 🥰
hilo halina shida cha msingi tu mambo ya kae sawa ShesRise_1 arudishe moyo wakenitoe hela ya maji maana mpka anielewe lazima koo litakua limenikauka mnoo
coy mzungu? mtoto wa mama mawigi au kuna coy mwingine?🤔Kadogo kake na coy mc! Bado kadogo hakajachanganya bado😅 kila mtu anakapenda
rasii utulie hivyo hivyoSawa nimetulia kama maji ya mtungi 😅 gudubai
🤐 nisamehewapi tena, na ina maajabu gani bint
Pole nipo in love somewherehilo halina shida cha msingi tu mambo ya kae sawa ShesRise_1 arudishe moyo wake
yani haka😆 au ushaanza kulewa maana sikuelewi🤐 nisamehe
nitakununulia wine ya 300k, nitakupeleka vacation sehemu nzurinzuri na nitakuwa nakupa weekly allowancePole nipo in love somewhere
maneno peleka kanisani shemu, tunataka vitendo tunitakununulia wine ya 300k, nitakupeleka vacation sehemu nzurinzuri na nitakuwa nakupa weekly allowance
sawa shemu vitendo vinafuata basi ongea nae ili akikubali vitendo vifuate nawewe pia nitakuhusisha kwenye hayo yote pamoja na rafiki yakomaneno peleka kanisani shemu, tunataka vitendo tu
niendelee na sijaona ikithibitishwa?sawa shemu vitendo vinafuata basi ongea nae ili akikubali vitendo vifuate nawewe pia nitakuhusisha kwenye hayo yote pamoja na rafiki yako
Ndio kaka yake jamani😅coy mzungu? mtoto wa mama mawigi au kuna coy mwingine?🤔
kheee basi mi sijuagi,, familia yao imebalikiwa na ma content creator wengiiii 😅Ndio kaka yake jamani😅