Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Aanhh tabu yote yanini! Watakuwa hawana ustadi hao😀
57f5c775-f757-4344-b61a-992c1d4188b3.jpeg
 
ARV mechanism of action😎,,, hizo pm 44 huwa mnachart vinini na wakina nani?
Ety ARV Mechanism Daaah acha tu,
Ni katika hali ya kutaka kujua Mambo Ya dunia....

Pm zingine sifunguagi hivo ni za mda mrefu sana zingine.. Ila yanayojadiliwa mengi ni mambo ya Jinsi gani naweza pata mishangazi kutokea huku gongo la mboto ahahahhaha
 
Nimejikuta nimecheka🤣🤣🤣,mtu unasamehe Hadi kula kisa Uzi huu😷🙌
😹😹😹 Nikikumbuka zile ban km utitiri ile siku nacheka sana..!!

Nkamu wangu alirusha ngunyani akafutiwa, akarusha pic ya Max akala ban 🤣🤣😹😹
 
hivi yule figo kumbe alikua njemba? nimelia sana😭😅,,,

lakin naomba umuache shemeji yangu kashaangukia kwa shoga angu asije akagaili kutupeleka vacation jamni🤭🙂,,

chai ya rangi shem wangu naomba usimsikilize Lamomy zile picha za majuzi zilikua za kweli buanaaa😎
😹😹😹 Mnapelekwa vacation kunywa chai ya rangi?
 
Back
Top Bottom