nitakununulia wine ya 300k, nitakupeleka vacation sehemu nzurinzuri na nitakuwa nakupa weekly allowancePole nipo in love somewhere
maneno peleka kanisani shemu, tunataka vitendo tunitakununulia wine ya 300k, nitakupeleka vacation sehemu nzurinzuri na nitakuwa nakupa weekly allowance
sawa shemu vitendo vinafuata basi ongea nae ili akikubali vitendo vifuate nawewe pia nitakuhusisha kwenye hayo yote pamoja na rafiki yakomaneno peleka kanisani shemu, tunataka vitendo tu
niendelee na sijaona ikithibitishwa?sawa shemu vitendo vinafuata basi ongea nae ili akikubali vitendo vifuate nawewe pia nitakuhusisha kwenye hayo yote pamoja na rafiki yako
Ndio kaka yake jamani😅coy mzungu? mtoto wa mama mawigi au kuna coy mwingine?🤔
kheee basi mi sijuagi,, familia yao imebalikiwa na ma content creator wengiiii 😅Ndio kaka yake jamani😅
Mjini mipango! Kutazamwa sikuhiiz ni big deal, akikutanishwa na wakubwa kadha wa kadha tayari katoboa!kheee basi mi sijuagi,, familia yao imebalikiwa na ma content creator wengiiii 😅
Sijalewa nipo timamu bhana😀yani haka😆 au ushaanza kulewa maana sikuelewi
Mbona kama unakuja halafu unakataa hebu jazia nyama tena kidogo 🫣nitakununulia wine ya 300k, nitakupeleka vacation sehemu nzurinzuri na nitakuwa nakupa weekly allowance
baba mkwe sitakusahau, licha ya kutoa mahari nitakujengea nyumba na kukununulia usafiri na kugharamia hela ya mafuta kila maraWacha wee😁😁😁
Ushanikera tupo sehemu sensitive unaanza kuingiza issue za mtu mwingine mfyuuu😏 kwendraaa 😎utakua malkia @setfree_1
ShesRise_1 yaani nawafananisha majina nisamehe sana kwa hiloU
Ushanikera tupo sehemu sensitive unaanza kuingiza issue za mtu mwingine mfyuuu😏 kwendraaa 😎
Hamna umemuanzishia mpka uzi 😭😁ShesRise_1 yaani nawafananisha majina nisamehe sana kwa hilo
hili nimemwambia win-one atakuelekeza na utaelewa na roho yako itasuuzika la mamaHamna umemuanzishia mpka uzi 😭😁
huu wimbo kavi vile uliimbwa kwaajili ya ShesRise_1 na mimi