min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,781
- 165,396
Mimi sitafutiKwani hujapata tu?
Mimi sitafutiKwani hujapata tu?
Hahaha............kweli hivyo, achana na hao wajukuu wameamua kunitania babu yaoBwashee , unatuongopea
Babu wang'ate tu , vijana tupo bize na pombe😁Hahaha............kweli hivyo, achana na hao wajukuu wameamua kunitania babu yao
Babu anasababisha wajukuu wafe na sukari huko💃🏽Babu wang'ate tu , vijana tupo bize na pombe😁
Si bora hayo meno ningekuwa nayo....babu yao nimezeeka ujueBabu wang'ate tu , vijana tupo bize na pombe😁
Wazae kabisa na watoto ili na sisi tukiwa wababu tuje kuwalea😆Babu anasababisha wajukuu wafe na sukari huko💃🏽
Naona unataka kunipandisha presha babu yako, hivi si unajua nawategema wajukuu kuniletea dawa pamoja na kiko 😂Babu anasababisha wajukuu wafe na sukari huko💃🏽
Hapa presha imepanda ujue, maana sio kunichomea hivyo utambi 😜Wazae kabisa na watoto ili na sisi tukiwa wababu tuje kuwalea😆
😅😅Hapa presha imepanda ujue, maana sio kunichomea hivyo utambi 😜
Unataka nikose hata mjukuu wa kumtuma kuniletea Kiko naona 😜
Endelea kuwategemea maana mapovu yanawatoka sio mchezo😂Naona unataka kunipandisha presha babu yako, hivi si unajua nawategema wajukuu kuniletea dawa pamoja na kiko 😂
Kununua tena jamani....hao ni wajukuu zangu kabisa na Bibi yenu, tumewalea wenyewe 😊Endelea kuwategemea maana mapovu yanawatoka sio mchezo😂
Hivi babu mjukuu mmoja unanua shingapi nijitathmini🤭
khaaaa nilikua sijaelewa kumbe ni comment zangu za kukuletea kiko ndo zinajadiliwa hapa🤣🤣🤣🤣,,, nimecheka walahKuwaagiza Kiko, ni sehemu yao kurejesha fadhila kwa babu yao...
Hapana sio wewe bhana ni utani tukhaaaa nilikua sijaelewa kumbe ni comment zangu za kukuletea kiko ndo zinajadiliwa hapa🤣🤣🤣🤣,,, nimecheka walah
Babu Grahams uwe unatoa taarifa yawa sema nini nimekoma mwanetu mi sipendagi mabifu🤣🤣🤣 wacha nitulize povu pembeni maana sijielewi,,, endelea kututafuna
au sio😂Hapana sio wewe bhana ni utani tu
Mhmm sio win , umefikiria vibaya tuau sio😂
Ulikuwa ni utani wa babu na wajukuu tu, you were not the targetkhaaaa nilikua sijaelewa kumbe ni comment zangu za kukuletea kiko ndo zinajadiliwa hapa🤣🤣🤣🤣,,, nimecheka walah
Babu Grahams uwe unatoa taarifa yawa sema nini nimekoma mwanetu mi sipendagi mabifu🤣🤣🤣 wacha nitulize povu pembeni maana sijielewi,,, endelea kututafuna
Things kwa ground hazikuhusu, na tunataniana na babu yetu siye wajukuu lol🤣khaaaa nilikua sijaelewa kumbe ni comment zangu za kukuletea kiko ndo zinajadiliwa hapa🤣🤣🤣🤣,,, nimecheka walah
Babu Grahams uwe unatoa taarifa yawa sema nini nimekoma mwanetu mi sipendagi mabifu🤣🤣🤣 wacha nitulize povu pembeni maana sijielewi,,, endelea kututafuna
Kafikiria vibaya tuUlikuwa ni utani wa babu na wajukuu tu, you were not the target
Si unajua wajukuu wakianza kumtania babu yao hawaachi hadi giza linaingia 😂