Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,319
Uwezo huo ninao basi, kuweni na imani na Wazee 😊Babu yetu soon unajiokotea vijukuu kama kawaida🤗
Uwezo huo ninao basi, kuweni na imani na Wazee 😊Babu yetu soon unajiokotea vijukuu kama kawaida🤗
Wazee wa hovyo!!🤣Uwezo huo ninao basi, kuweni na imani na Wazee 😊
Hivi si unajua Babu yenu ni presha mjukuu 😂Wazee wa hovyo!!🤣
Babu ana pressure wajukuu wana presha yani tafrani tupu🙌🏾Hivi si unajua Babu yenu ni presha mjukuu 😂
Alafu hata sijala nyingi sana, ni nusu kilo tu 😜
Babu ana jitafunia tu vikuku vichanga vichanga , tatizo menoWazee wa hovyo!!🤣
Kuwa na imani na Wazee Mjukuu 😊Babu ana pressure wajukuu wana presha yani tafrani tupu🙌🏾
Kuwa na imani na Wazee Mkuu 😂Babu ana jitafunia tu vikuku vichanga vichanga , tatizo meno
😅Kuwa na imani na Wazee Mkuu 😂
Naona ulitaka kunipandisha presha zaidi hapo juu, umefanya hadi nikimbilie dawa zangu za presha Mkuu 😂
Sasa kama hawajielewi😂Babu ana jitafunia tu vikuku vichanga vichanga , tatizo meno
Ningekua sipendi pombe kumbe na mimi ningefaidi😄Sasa kama hawajielewi😂
Nimekuelewa sana babu ake twende kazi😂💃🏽Kuwa na imani na Wazee Mjukuu 😊
Tangu mwaka 47, Wazee tumezoea kula aina moja ya chakula, kama ni ugali samaki ni huo huo tu, sio kama vijana leo chips, kesho wali ama burger, keshokutwa pizza n.k
Haswaa👌🏽Ningekua sipendi pombe kumbe na mimi ningefaidi😄
Tatizo nikishapata vitu vyangu naona nimemaliza😁Haswaa👌🏽
Fanya uniletee Kiko sasa Mjukuu, nimeshamaliza korosho zangu 😎Nimekuelewa sana babu ake twende kazi😂💃🏽
Kwani hujapata tu?Tatizo nikishapata vitu vyangu naona nimemaliza😁
Kumbe upo kama Mimi, nikuvuta zangu Kiko basi sina heka heka na Uzee huuNingekua sipendi pombe kumbe na mimi ningefaidi😄
Kwani bado tu hujaletewa?😆Fanya uniletee Kiko sasa Mjukuu, nimeshamaliza korosho zangu 😎
Nani wa kuniletea kama sio wewe Mjukuu jamani 😊Kwani bado tu hujaletewa?😆
Bwashee , unatuongopeaKumbe upo kama Mimi, nikuvuta zangu Kiko basi sina heka heka na Uzee huu