Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,749
- 58,285
Sio wa kishua bana...nimechekaaaaaaaaa😄😄😄😄😄 pumbavu zako,, bado haujapona gono ushakimbilia mwanamke mwingine🤨,, sasa hiyo pisi utaipa nini? au ndo atasubiri hizo mia 5 unazopata ukiwawekea watu movie🤦♀️🤦♀️ au,ni toto la kishua halihitaji matunzo
Angekua wa kishua asingekuwepo pale kuhangaikia kazi za ajabu zile et wanasema jinsi gani ya kupitisha sofa kwenye mlango mdogo.
But all on all haka katoto nasema.kabisa kameteka Moyo wangu aiseeee 💯 🙏..
Naawezela achana na mishangazi hv hv aiseeee alafu ujue nn oya black beuty hii alafu modal rasta mpaka matakoni..
Mi rasta napenda ujue