Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulikuwa ni utani wa babu na wajukuu tu, you were not the target

Si unajua wajukuu wakianza kumtania babu yao hawaachi hadi giza linaingia 😂
hebu usinichekeshe, nioneshe ushawahi kuchart na nani kuhusu kukuletea kiko kwa charting za majuzi,,

anyway usijaree babu hata mi najua ni utani na hata kama sio utani mi sijui kurudisha mabaya ☺️😁😁 napenda kusamee na kusahau,,,,

haya byee jioni njema
 
Ilikuwa ni utani tu Mjukuu...

Hiyo jioni njema vipi wakati hujaniletea kiko yangu lakini, hili baridi litaniua bila kuvuta ujue 😂
 
hebu usinichekeshe, nioneshe ushawahi kuchart na nani kuhusu kukuletea kiko kwa charting za majuzi,,

anyway usijaree babu hata mi najua ni utani na hata kama sio utani mi sijui kurudisha mabaya ☺️😁😁 napenda kusamee na kusahau,,,,

haya byee jioni njema
Mhmm , hiyo I'd huwa binafsi naitania kabla hata ya kuwa na I'd yangu hii , , nafikiri umekosea 🤔
 
Bia nazipiga chini , nina ratiba kali sana ya mazoezi , uzito umefika 79 nataka nichezee hapo
C045A558-1858-4E39-BC83-DBF4C956C719.jpeg
 
Back
Top Bottom