ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,088
- 40,370
Mambo mengi dearHaunenepi saana! Kwanini haupati muda?
Mambo mengi dearHaunenepi saana! Kwanini haupati muda?
Yes mi nalala sn tuUnalala mchana mm siwez ikitokea ni nadra sana
HahaqNjoo tulale huku😃
Kumbe basi sawa mi nimezaa tayali maa😍Yes mi nalala sn tu
1 yq kitu nakipenda
Nina rfk angu huwa anasemq lala tu ukija kuzaa ukiqnza kulea utaukumbuka huu muda🤣
Ukiwepo nambie niweke shwaaaa😁pita saivi sameja wangu mwenye sura ya upole ila cha pombe😁😁 tupo wawili
nipo sameja fanya jambo chapUkiwepo nambie niweke shwaaaa😁
Leo NIANGALIE vizuri uone kama Mimi ni mlevi au mnywajii naweka picha soon
Tayar shwaaaanipo sameja fanya jambo chap
sameja wew ni muhandsome mnoooo ujue mwanzo,ulikuaga unapita upande upande ila leo wuuuuh🤗🤗
Tunaomba picha Yako pia long time imekua 😊sameja wew ni muhandsome mnoooo ujue mwanzo,ulikuaga unapita upande upande ila leo wuuuuh🤗🤗
unaomba wew na nani sameja🤣🤣🤣Tunaomba picha Yako pia long time imekua
😊 Na kaka yupo humu kwenye thread kwani hamja salimiana..unaomba wew na nani sameja🤣🤣🤣
umeanza kuzingua😆 naomba libaki jina pekeake tafadhari kila siku nakwambia ule ulikuaga utani ila hauelewi khaa😊 Na kaka yupo humu kwenye thread kwani hamja salimiana..
Sawa utani Mimi najua pia haaahaa 😊.umeanza kuzingua😆 naomba libaki jina pekeake tafadhari kila siku nakwambia ule ulikuaga utani ila hauelewi khaa
hapo sawa ila usiwe unaurudia urudia huo utani si ndio sameja wangu🤗💃Sawa utani Mimi najua pia haaahaa 😊.
Ngoja nijichukulie Jimbo Mimi 😊
Rudia nilikua na kazi mkononiiiii rudiaaDr am 4 real PhD daktar nimepita
Si urudii tenaa..😊😊😊 nachukua jimboohapo sawa ila usiwe unaurudia urudia huo utani si ndio sameja wangu🤗💃
ndo basi tena sameja labda mpka badae badae💃💃Rudia nilikua na kazi mkononiiiii rudiaa
nani kakwambia lipo wazi? mbona limechukuliwa mda tu jamani🤭Si urudii tenaa..😊😊😊 nachukua jimboo