Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,696
- 83,510
Vyakula vya wachawi vya ajabu sana😃Huku nilipo Mungu nisaidie nitoke salama🥺🤮View attachment 3555410
Vyakula vya wachawi vya ajabu sana😃Huku nilipo Mungu nisaidie nitoke salama🥺🤮View attachment 3555410
🤣🤣🤣Kapikeni mi mtanikuta kwenye kupopoa hawa viumbe wanataka kutuzoea😂
🤣🤣🤣🙌Mpaka sasa mama wachungaji 3 , wasio okoka 0
Umechelewa wapi aisew🤭 umepitwa sana la mama🤸🏽♀️
HAAAHAA 😂Vyakula vya wachawi vya ajabu sana😃
Naomba nikuulize kitu kakaHuku nilipo Mungu nisaidie nitoke salama🥺🤮View attachment 3555410
Jmn nilikuwa na kaziUmechelewa wapi aisew🤭 umepitwa sana la mama🤸🏽♀️
Pole sana, siku nyingine maliza kabisa kazi😂Jmn nilikuwa na kazi
Ilq ht hujaniitqPole sana, siku nyingine maliza kabisa kazi😂
Ukoo wa kina Mshana ?Huku nilipo Mungu nisaidie nitoke salama🥺🤮View attachment 3555410
Nimekuita umelala tu😂Ilq ht hujaniitq
Basi poq tusubiri ngwe ya usiku
Na ndo natakq niingie kulalq ssNimekuita umelala tu😂
Unalala mchana mm siwez ikitokea ni nadra sanaNa ndo natakq niingie kulalq ss
Njoo tulale huku😃Na ndo natakq niingie kulalq ss
Unashindwaje ni rahaaa👌🏽Unalala mchana mm siwez ikitokea ni nadra sana
Naogopa kunenepa 🤣 hata hivyo mala nyingi sipati mda wa kulalaUnashindwaje ni rahaaa👌🏽
Haunenepi saana! Kwanini haupati muda?Naogopa kunenepa 🤣 hata hivyo mala nyingi sipati mda wa kulala