Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,796
- 83,746
We ongea na kijana wa zamani vzr mambo ya baba humu kivipi ss😆Tokea kumekucha sijacheka hivi 😂😂😂
We ongea na kijana wa zamani vzr mambo ya baba humu kivipi ss😆Tokea kumekucha sijacheka hivi 😂😂😂
Astghafirullah sijihusishi na mahusiano labda anifundishe uroziWe danga hilo unasema baba😂
Naijua hiyoo.. ongea na dingilai vzr binti mrembo😅Astghafirullah sijihusishi na mahusiano labda anifundishe urozi
Ili tuwe tunaongozana kuosha maiti ?Naijua hiyoo.. ongea na dingilai vzr binti mrembo😅
Atatugombanisha huyu dada hajui feeling nazopata kujipatia baba 🥰
Sema daddy😍 si ndio inayowaletea kipato dada, unataka kutembelea makalio na hutaki kujishughulisha😳 we hata akisema leo tunalombania makaburini sema sawa dadii🤪🫠Ili tuwe tunaongozana kuosha maiti ?
Hunihurumii halafu utanikosanisha na new papa🥰 ataona sina heshima
Seran kumbe ni pisi bhan 😂Sema daddy😍 si ndio inayowaletea kipato dada, unataka kutembelea makalio na hutaki kujishughulisha😳 we hata akisema leo tunalombania makaburini sema sawa dadii🤪🫠
Go straight to the point! Dont oss thru’ the conaz😂🤸🏽♀️ Eti baba nyooh! Baba yako yupo humu?Atatugombanisha huyu dada hajui feeling nazopata kujipatia baba 🥰
Daddyy ndio unyama bana! Hebu asikuzeeshe una mtoto mkubwa hivi?🙄Au daddy🥰
Hee ndio mnirushie makombora kama iran🤸🏽♀️⚔️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🥵Usijali mwanangu.. Seran punguza ukorofi😀View attachment 3555687
😂😂Nimeona pigo za kike ndio maanaKwanini tena? Nani kasema😳
Uongo dadii?🫠
Dah aiseee😂Sema daddy😍 si ndio inayowaletea kipato dada, unataka kutembelea makalio na hutaki kujishughulisha😳 we hata akisema leo tunalombania makaburini sema sawa dadii🤪🫠