Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,668
- 83,469
Pole bibi 🤸🏽♀️Nachanganyikiwa mjukuu wangu
Pole bibi 🤸🏽♀️Nachanganyikiwa mjukuu wangu
Nimegundua kinachonifanya nichelewe kuoa ni kwa sababu sijakutana na wewe!Nakuona unapita kimyakimy
Yani wew haufanani na maandishi yako humuNachanganyikiwa mjukuu wangu
Hua na view kimya kimya kama hawa watu fudenge leo najua tupo 3 lahaulaaaa ila kuweka picha yangu ndio day onePole sana unakosa vingi! Au basi😂
Ata me ni day Uno, ila wakiweka niko nao sambamba😃Hua na view kimya kimya kama hawa watu fudenge leo najua tupo 3 lahaulaaaa ila kuweka picha yangu ndio day one
Umeona sasa ndio maana nikasema siweki tena picha 😆😆 sasa ukiona sura utachoka😂😂Yani wew haufanani na maandishi yako humu
Kama yule ni wewe kuanzia Leo natangaza rasmi we ni hazina ya taifaPita shemeji..
We ni kuwasha moto tu mwishowe tuungue!
Mbona ipo vizuri tuUmeona sasa ndio maana nikasema siweki tena picha 😆😆 sasa ukiona sura utachoka😂😂
Tokaaa usinishawishi tena 😭😆Ata me ni day Uno, ila wakiweka niko nao sambamba😃
Sijasema ni mbaya ila kuna ile namna una imagine mtu yupo hivi kumbe tofauti ila ndio : Hata najua basi🙌Mbona ipo vizuri tu
Kawaida tu , wala usijishtukie wewe selfika tu , kujuana sio mbayaSijasema ni mbaya ila kuna ile namna una imagine mtu yupo hivi kumbe tofauti ila ndio : Hata najua basi🙌
Kwani kuna mtu mwingine kafanana na mimi au😅Kama yule ni wewe kuanzia Leo natangaza rasmi we ni hazina ya taifa
Naruhusiwa ku save🥲Kwani kuna mtu mwingine kafanana na mimi au😅
🔥🔥🔥🔥🔥Kwani kuna mtu mwingine kafanana na mimi au😅
Mangi unaniangusha mtoto kakupa wallpaper kiutu uzima.Naruhusiwa ku save🥲
Eka wall paperNaruhusiwa ku save🥲
Naachaje mfano☺Eka wall paper