min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,436
- 127,772
OK maliza kula kwanzaNo
Nimechelewa kurudi kwenye mishe jmn
Hapa ndo nakula imagine
OK maliza kula kwanzaNo
Nimechelewa kurudi kwenye mishe jmn
Hapa ndo nakula imagine
SijauzaNikajua ulishakata ukauza😄😄
Ila rasta zinakupendezea mnoSijauza
😂😂😂😂 mama mtumishi, wee baki kwenye imani bhanaaWatu mna siti
Unatakirika peke yako
😁😁😁 ngoja sahii nipite nakedNimeon rasta tu lakini😊
😂😂😂😂😂 hatariiii.Wachaaaaa
Sikuwezi
😊🙏Shukran sanaIla rasta zinakupendezea mno
Mimi sijapata utulivu tu , ningesokota tena.😊🙏Shukran sana
Sawa😂😂😂😂 mama mtumishi, wee baki kwenye imani bhanaa
Una urefu kiasi gani mama mchunga ?Nyingine kesho
5.2Una urefu kiasi gani mama mchunga ?
Mhmmm mbona unaonekana ni super tall?
Ukipata utulivu utaanza upya usijaliMimi sijapata utulivu tu , ningesokota tena.
Kwanza sijui vzr km niko sahihiMhmmm mbona unaonekana ni super tall?
Yeah wewe ni mrefu sana kwa wanamke lakiniKwanza sijui vzr km niko sahihi
Ila mi sio mfupi
😂😂😂😂😂Sawa
😄
Ni mimi nafanyaUna sahihisha au ni homework ya jr??
Nisanue kwani shangaziiiii???
Jamani😂Mhmmm umefuta haraka mno
Mambo ya Arithmetic & Geometric progression.cocastic njoo kidogo nimelia sana kwakweli mimi na hesabu wap na wapView attachment 3536340