Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,588
- 83,139
Sasa ndo nini!! Weka bn ukitoka nafuatia..Ngoja niondoke zangu naona unanichora tu.
Sasa ndo nini!! Weka bn ukitoka nafuatia..Ngoja niondoke zangu naona unanichora tu.
Wachaa wee!! pesa haidanganyii, haitaki kelelee.Sasa hata comment zako zipo tofauti, zimekaa kishua
Kesho na ku pm kama upo seriousKm kiasi gani? Na isizidi 3000km
Sawa Dr, haina shida.Kesho na ku pm kama upo serious
😅Dr tenaSawa Dr, haina shida.
Sitoacha kukukumbusha Antonnia kakusaidia sana😂😂😂😂😂 huu uzi ni wa ku selfika.
Unataka kuanza kuleta vawulensiiiii.
Tuishi humuu, nitamfikia m1 baada ya mwingine, huwa sisahau kurudisha fadhila mie.
Sio manyau nyau, 😂😂😂😂😂😅Dr tena
Alamskiiiii!!! Barikiwa sana!!Sitoacha kukukumbusha Antonnia kakusaidia sana
Dogo naona unakaba hapo kwa seran,Ngoja niondoke zangu naona unanichora tu.
Jina Dr linatisha mno nikajua ni yule Dr mapaka etiSio manyau nyau, 😂😂😂😂😂
Meku mbona unajistukia, khaaah
😂😂😂😂😂😂 acha uoga mekuu.Jina Dr linatisha mno nikajua ni yule Dr mapaka eti
🤣🤣🤣🤣Midaa ya Gahawa hii UJUE
Umetutapeli kumbe🤣🤣🤣🤣
Pita fasta .....Mmelala hebu selfikeni bas
Nikajua umepita🥲cocastic njoo kidogo nimelia sana kwakweli mimi na hesabu wap na wapView attachment 3536340
Kabinti karembo sana na kweli unaonekana mpole 😊