min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,437
- 127,822
Kijana wa same kumbe bado shule ipoMambo ya Arithmetic & Geometric progression.
Kijana wa same kumbe bado shule ipoMambo ya Arithmetic & Geometric progression.
Number nlikuwa naimudu vizuri, hata chuo nlipambana sana na number.Kijana wa same kumbe bado shule ipo
Kupasuana vichwa tu na uzee huu 😀Mambo ya Arithmetic & Geometric progression.
😂😂😂😂 aaah wapii shangaziiii, umerudi shule lini??Ni mimi nafanya
HahahqYeah wewe ni mrefu sana kwa wanamke lakini
Changamsha ubongo huo uache kuwaza VICOBA muda wote!Kupasuana vichwa tu na uzee huu 😀
Apo kwenye vikoba huwaambii kitu wanakuaga kaa mbongoChangamsha ubongo huo uache kuwaza VICOBA muda wote!
Ndo center zao za kupeana michongo.Apo kwenye vikoba huwaambii kitu wanakuaga kaa mbongo
Wengine hadi wanabet sio mchezoNdo center zao za kupeana michongo.
😂😂😂😂Mm naacha mwaka huuApo kwenye vikoba huwaambii kitu wanakuaga kaa mbongo
Labda ushukiwe na roho mtakatifu ndy utaacha lkn kutamka mdomon hapan😂😂😂😂Mm naacha mwaka huu
Mi siwezi na sijawahi hayo mambo ya vikoba😂😂😂😂Mm naacha mwaka huu
I mean time to sleep nikapumzishe fuvu langu sasa!!Nipo...
Nimekukumbuka sana madamAbee
Mambo vip
Mimi nimeanza nikiwa na miak 24 kipind hiko ninakibiashara changu kidogo nimeingia tu wakanipa na uongoz yani imekuwa kma wameniroga sijaacha had leo 😂😂Mi siwezi na sijawahi hayo mambo ya vikoba
🤣🤣🤣🤣
Naacha kweli nipumzike nimwagilie moyo mwak mmoja ila nitaendelea nisisem uongoLabda ushukiwe na roho mtakatifu ndy utaacha lkn kutamka mdomon hapan