G
guest-1790917349
Guest
NoUmetutapeli kumbe
Nimechelewa kurudi kwenye mishe jmn
Hapa ndo nakula imagine
NoUmetutapeli kumbe
OK maliza kula kwanzaNo
Nimechelewa kurudi kwenye mishe jmn
Hapa ndo nakula imagine
SijauzaNikajua ulishakata ukauza😄😄
Ila rasta zinakupendezea mnoSijauza
😂😂😂😂 mama mtumishi, wee baki kwenye imani bhanaaWatu mna siti
Unatakirika peke yako
😁😁😁 ngoja sahii nipite nakedNimeon rasta tu lakini😊
😂😂😂😂😂 hatariiii.Wachaaaaa
Sikuwezi
😊🙏Shukran sanaIla rasta zinakupendezea mno
Mimi sijapata utulivu tu , ningesokota tena.😊🙏Shukran sana
Sawa😂😂😂😂 mama mtumishi, wee baki kwenye imani bhanaa
Una urefu kiasi gani mama mchunga ?Nyingine kesho
5.2Una urefu kiasi gani mama mchunga ?
Mhmmm mbona unaonekana ni super tall?
Ukipata utulivu utaanza upya usijaliMimi sijapata utulivu tu , ningesokota tena.
Kwanza sijui vzr km niko sahihiMhmmm mbona unaonekana ni super tall?
Yeah wewe ni mrefu sana kwa wanamke lakiniKwanza sijui vzr km niko sahihi
Ila mi sio mfupi
😂😂😂😂😂Sawa
😄
Ni mimi nafanyaUna sahihisha au ni homework ya jr??
Nisanue kwani shangaziiiii???
Jamani😂Mhmmm umefuta haraka mno