Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,986
- 48,480
😂😂😂Vicoba ndio mambo yetuChangamsha ubongo huo uache kuwaza VICOBA muda wote!
😂😂😂Vicoba ndio mambo yetuChangamsha ubongo huo uache kuwaza VICOBA muda wote!
Hongera kwakweliMimi nimeanza nikiwa na miak 24 kipind hiko ninakibiashara changu kidogo nimeingia tu wakanipa na uongoz yani imekuwa kma wameniroga sijaacha had leo 😂😂
Nipo online leo nione chochote kitu walaqhi siku ile sikuona mie🥲Nipo salama kabisa ndugu yangu..!
natumaini u bukheri wa afya pia..!
Mi hujanizidi aisee yaani natamani nije Mwanza leo leoNimekumisi pia Poker
Njoo leo leo nitakungojaMi hujanizidi aisee yaani natamani nije Mwanza leo leo
😂 niimbie nyimbo moja nzuri nipae nijeNjoo leo leo nitakungoja
Mara nyingine najiuliza una uzuri wa namna gani na nashindwa pata jibu,😂 niimbie nyimbo moja nzuri nipae nije
Zile za kipindi kile ulizokuwa unatuma ni voice note ama maana huu uzee tena😁😁Sa Audio hadi niende studio jamani😊😊😊