Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaacha kujali afya yako na misaada iliyositishwa huko WHO ndo kwanza unataka kudimbua yutiayi sugu na VVU zilipolala..!! 😹😹😹

Tupo hapa tunakusubiri ukiwaita JF doctors wakusaidie dawa na wapambe hatukosi wa kukuzidishia stress..!! 🤣😹😹
Nzii kufia kwenye kidonda 😁 kudimbua muhimu.

Lamony wewe TUPE skills tusitishane... kuhusu afya Mimi ni mdau wa afya mwandamizii senior.

NB. Nilikua natania sana nimesha tundika daluga muda mrefu Sasa😊
 
Back
Top Bottom