min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,437
- 127,793
Hahahahah kaonePiga vitu Ras 😁😁
Hahahahah kaonePiga vitu Ras 😁😁
😂😂😂Carleen tukiona hata mikono inatosha sana 😊
Cute😂😂😂
hii thread bado ipo kumbe..!??
Nakupa 5 minutes naifuta..!
na ni shabiki wa Yanga lia lia,
dosho12 na Vincenzo Jr mje haraka kabla nifute hii jezi..!
View attachment 3535535
Heshima zako carleen,bila shaka hakuna jf nzima kama wewe.😂😂😂
hii thread bado ipo kumbe..!??
Nakupa 5 minutes naifuta..!
na ni shabiki wa Yanga lia lia,
dosho12 na Vincenzo Jr mje haraka kabla nifute hii jezi..!
View attachment 3535535
Carleen we ni mzuri wa asili na idara zote umekamilika 🥰🥰 kwanini dosho12 hakuwah nishtua. Lips nzuri, jicho kungu, rangi ya dubai, body umbo 8, aisee Vincenzo Jr umepitwa na mambo mazuri. Itabidi tuanze kuwa karibu kwanzia sasa.😂😂😂
hii thread bado ipo kumbe..!??
Nakupa 5 minutes naifuta..!
na ni shabiki wa Yanga lia lia,
dosho12 na Vincenzo Jr mje haraka kabla nifute hii jezi..!
View attachment 3535535
Kandete karibu na Kyela?Kuna shule mmoja Iko mbeya inaitwa mwakaleli ipo Kijiji Cha kandete. Shule ya kibabe sana wana tukuyu na mbeya wanaijua. Nilikua nyapara pale.( Nilifukuzwa shule pale nikarudi kupiga pepa.
Nilivofika ud!! Pale level square ndio palikua nyumbani kwangu sumbai anajua.
Historia yangu ya utukutu ni ndefu mno. Hapa sijazungumzia olevel miaka 4 shule tatu tofauti nimesoma.
Acha chino nitulie hahaha
Unaacha kujali afya yako na misaada iliyositishwa huko WHO ndo kwanza unataka kudimbua yutiayi sugu na VVU zilipolala..!! 😹😹😹Hii na ihifadhiii Mimi mwaka huu nataka kuchakata 10pc ingekua vyema ukatupa mbinu.
Mpaka Sasa nipo kwenye 1pc NIMEBAKIZA 9pc
Sijaona miee 😎😎😂😂😂
hii thread bado ipo kumbe..!??
Nakupa 5 minutes naifuta..!
na ni shabiki wa Yanga lia lia,
dosho12 na Vincenzo Jr mje haraka kabla nifute hii jezi..!
Nimechelewa walaqhiCarleen we ni mzuri wa asili na idara zote umekamilika 🥰🥰 kwanini dosho12 hakuwah nishtua. Lips nzuri, jicho kungu, rangi ya dubai, body umbo 8, aisee Vincenzo Jr umepitwa na mambo mazuri. Itabidi tuanze kuwa karibu kwanzia sasa.
Iyo iyo ya kuelekea kyela.Kandete karibu na Kyela?
Aiseee uliwezaje kuishi kule?
Nilienda kwenye msiba juzi kati, kuna mwenzetu alifiwa na mdogo wake tukasafirisha kwao kule…!!
Ila chino una fix nyingi banaa 😹😹
Muongo wewe ulikuwa online mkuuSisi wenyewe tulikua job