Wewe pita tu chapSiku hizi nimeachia ndevu kama yohana mbatizaji nikipita humu nitachekesha walio nuna😃
Ngoja badae nikienda kilabuni kupata machicha kidogo 😆 kichwa ikae mwake kwanzaWewe pita tu chap
Hiyo badae nitaona vumbi tu 😂😁Ngoja badae nikienda kilabuni kupata machicha kidogo 😆 kichwa ikae mwake kwanza
Nikilewa mimi mzungu wewe 😄😄😄 labla tu nichanganyiwe habariHiyo badae nitaona vumbi tu 😂😁
Sawa Ras, basi acha nisubiri ukilewaNikilewa mimi mzungu wewe 😄😄😄 labla tu nichanganyiwe habari
Leo nina ngunga na bia za moto hatari 🤗Sawa Ras basi acha nisubiri ukilewa