Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,853
- 27,413
Pombe inakupa kamdomo 😆 😅😅 na ni kweli utulize tu mshono , kipenzi changu😊
Pombe inakupa kamdomo 😆 😅😅 na ni kweli utulize tu mshono , kipenzi changu😊
Hamna namna 😂, uzingatie kutuliza mshono tu kama ulivyoambiwa 😆Sasa itakuaje mimi niliyekosa vyote makelele na pesa😂
😅😅 nakupa mbinu, unapiga kitu flani amazing unalala fofofoooo. kuja kushituka umefikaa, zile kona wengi zawaogopeshaaHela ya kukodi chopa sina mkuu, ninayo ya kutosha kukaa Java 5 nights tu 😎
Shida si dereva, ni namna ya kufika kule ilivyo na mambo mengi, ile milima na zilekona huwa zinanitisha sana.
Aina hii ndo wanaume ukiachana nae atakwambia ulikua huna hata namba ya NIDAHamna namna 😂, uzingatie kutuliza mshono tu kama ulivyoambiwa 😆
Labda next year nitaenda tena, acha tuone itakuwaje!😅😅 nakupa mbinu, unapiga kitu flani amazing unalala fofofoooo. kuja kushituka umefikaa, zile kona wengi zawaogopeshaa
itapendeza sana maMtu 😊Labda next year nitaenda tena, acha tuone itakuwaje!
Ukilewa usichat 😎😅😅😅 nimelewa , kiufupi ephen_ anajua sina pesa
👍hapo sawa,?
wapi?,, zile za mwanzo zilikua changamsha uzi sameja usichukulie serious🤗😅,, ebu selfika kwanza tuone kama kuna mabadiliko
Usiwe kama mtoto wa 2010Mimi nakula pombe ya zaid ya million 10 halafu nasikia msenge mmoja anaongea utumbo wewe kuweza?
Mimi nakula pombe ya zaid ya million 10 halafu nasikia msenge mmoja anaongea utumbo wewe kuweza?
Heba beba huyu kipenzi chako umtoe hapa kabla hajaharibu 😂 😆Usiwe kama mtoto wa 2010
Papo vizuri sana baMtu!
Life ni kufurahi.. Nikuache na kaka tembo hapoo anakuna tumbo 😅😅... sleep 😴 here here sasa sasaPapo vizuri sana baMtu!
Sina cha kusema, lala salama baMtu!Life ni kufurahi.. Nikuache na kaka tembo hapoo anakuna tumbo 😅😅... sleep 😴 here here sasa sasa
View attachment 3478425
Naona umelala na kuamka na mawazo ya kwenda milimani.