Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hahahah napumzika sana tu bwashee , ila nikipiga pesa nakula maisha kama hivi leo🤣🤣🤣
Duh mm hapana Man.... weekend tu tena nikitoka.... nisipotoka sigusi kabisa.. sometimes washkaji nawadanganya niko mbali kumbe home tu nimechill..
Make najua nikienda huko ni kulewa tu😃
 
Duh mm hapana Man.... weekend tu tena nikitoka.... nisipotoka sigusi kabisa.. sometimes washkaji nawadanganya niko mbali kumbe home tu nimechill..
Make najua nikienda huko ni kulewa tu😃
Sure bro ,toka kutana na wahuni , asie faa kafaa , hakuna mtu anaweza kukosa pesa
 
Unakodi chopaa maMtu 😅😅..
Hela ya kukodi chopa sina mkuu, ninayo ya kutosha kukaa Java 5 nights tu 😎
Mie ni dereva mzuri sana, siku ingine nipee kazi ya kukupelekea, hutokjwa na wasi wasi
Shida si dereva, ni namna ya kufika kule ilivyo na mambo mengi, ile milima na zile kona huwa zinanitisha sana.
 
Back
Top Bottom