Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 11,775
- 27,194
Napenda sana milimani 😍, vipi unaenda mapumziko wapi mkuu?😎😎 vacation
View attachment 3478361
Napenda sana milimani 😍, vipi unaenda mapumziko wapi mkuu?😎😎 vacation
View attachment 3478361
Kazana kula ukusanye nguvu mkuu, usije ukaleta unyonge ukipewa nafasi!
Huwa naenda mahenge mkuu.. ila this time aenda Lushoto sehemu yaitwa Java Programming Language 😅😅.. cheki chini hapoNapenda sana milimani 😍, vipi unaenda mapumziko wapi mkuu?
Mahenge 😳 ile ile ya Ulanga au kuna nyingine?Huwa naenda mahenge mkuu.. ila this time aenda Lushoto sehemu yaitwa Java Programming Language 😅😅.. cheki chini hapo
View attachment 3478371
Mejii km mejiii, 😂😂😂😂Shem kama shem 😂
Usipate kwikwi tu 😎 😅Kaka leo nakunywa pombe mpaka nizime🤣
Nimekuwekea maana ya ujumbe wako kule kwetu kapitie shem 😂Mejii km mejiii, 😂😂😂😂
😅😅 Mahenge huko huko Ulanga kumbe wajua ... Java safi kabisaMahenge 😳 ile ile ya Ulanga au kuna nyingine?
Hapo Java napajua sana 😂
Mimi natoka hapa muda si mrefu nianze kupiga mayii mpaka yaite mmaa..Kaka leo nakunywa pombe mpaka nizime🤣
Bwasheeee 🤣 😂 nimetulia kama maji mtunginiiMwanangu , wewe ni mtu makini sana na nirafiki yangu namba moja ila ukipunguza umbea utapendezea sana bwashee sio kwa ubaya lakini🤔 hapa nakula bia ya 10 bwashee
Sure bro juzi nimepiga bingo la dollars 6000 , nnje na mshahara, hapa nakula vitu kwa burudani ya kipekee sanaaMimi natoka hapa muda si mrefu nianze kupiga mayii mpaka yaite mmaa..
Tangu Jana Nina good news imekua bahati sana mwezii September 😊😊😊
🥃🥃🥃Kuna kijiwe kimoja naenda ila washikaji wa pale wanapenda sana kuomba omba haaahaa 😊 😊 nataka niwakatae nimegundua ni wrong company Jana nilikua kibunda kimeteketea kama SGR aiseeee 🤔
Napapenda sana Lushoto, kungekua na airstrip unaweza kufika bila kutumia barabara ningekua naenda mara nyingi zaidi.😅😅 Mahenge huko huko Ulanga kumbe wajua ... Java safi kabisa
View attachment 3478383
Sure master , mimi na wewe tupo fani moja ya utabibu , japo mimi ni nesi na mimi ni mkunga naBwasheeee 🤣 😂 nimetulia kama maji mtunginii
Mitano tenaaaaa 😂 😁 October tunatikii ✅ ☺️😊
🥃🥃🥃
Unakodi chopaa maMtu 😅😅..Napapenda sana Lushoto, kungekua na airstrip unaweza kufika bila kutumia barabara ningekua naenda mara nyingi zaidi.
Ila zile kona kona za kupanda milimani, kila nikienda nakua too anxious naogopa mkuu!
Pesa haina makelele! Ogopa matapeli😁
We bwashe.. hakuna siku unapumzika ?? Mm mara moja moja Sana weekend naweza gusa mbili tatu baasKaka leo nakunywa pombe mpaka nizime🤣