Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,854
- 82,007
😀😃Aina hii ndo wanaume ukiachana nae atakwambia ulikua huna hata namba ya NIDA
😀😃Aina hii ndo wanaume ukiachana nae atakwambia ulikua huna hata namba ya NIDA
You are me by Alaine.. Nakumbuka hiyo twatoka Dar hadi Tunduma, alafu ikawaaa 🔥🔥🔥... Usiku mwema maMtu..Pole na upweke, wimbo gani huu, siwezi kuplay hapa nilipo!
Wewe siyo bure itakua umeachwa hivi karibuni bado una machungu 😅You are me by Alaine.. Nakumbuka hiyo twatoka Dar hadi Tunduma, alafu ikawaaa 🔥🔥🔥... Usiku mwema maMtu..
Bye na haka ka wimboo It Will Rain
View attachment 3478921
Kazuri
🫩🫩🫩.. acha tuuu maMtu, acha nitunze bikra yangu, nasikia mapenzi sio ya mchezo mchezoWewe siyo bure itakua umeachwa hivi karibuni bado una machungu 😅
Nipo hapaa naangalia ka kumununulie mpenzi wangu ajae ,😊😊..Kazuri
Inabidi uwe na uvumilivu baMtu, penzini ni kugumu jamani🫩🫩🫩.. acha tuuu maMtu, acha nitunze bikra yangu, nasikia mapenzi sio ya mchezo mchezo
😃😀😀Inabidi uwe na uvumilivu baMtu, penzini ni kugumu jamani
🤪🤪 sijui nani atakuja anitoe bikra yangu tuu, naomba asiwe katiliiInabidi uwe na uvumilivu baMtu, penzini ni kugumu jamani
Wacha weeehNipo hapaa naangalia ka kumununulie mpenzi wangu ajae ,😊😊..
Watch this 💔💔 to love is to suffer 🫠🥺Leo nimekuwa na mawazo mazito sana, moja ya wazo hadi nika stuck. Ni pale ambapo mtu ana fight ku make kwenye maisha ili wazazi wake wafaidi, alafu anakuja ku make wazazi wote wakiwa hawapo.. anachukua ile nafasi anampa mpenzi wake ya hadhi na heshima ya wazazi na kumuona mpenzi wake ndio kawa baba na mama na mfariji, alafu mpenzi nae ana mpiga tukioo.. yaaani 🫩🫩🫩
Enzo unatucheka ambao tunaumia eenhee😃😀😀
Mambo😎👋Enzo unatucheka ambao tunaumia eenhee
Wacha weeeh
Watch this 💔💔 to love is to suffer 🫠🥺
View: https://youtube.com/shorts/rI08rDOuLBg?si=wzICLToDa81Fni3k
Poa, you good?Mambo😎👋
Karibu tupate bia😎Poa, you good?
Sana 💯😅😅 jamaa anaongea kwa msisitizo kabisaaa...
Wacha weeh, yani tayari unawaza vidani vya kumvisha mpenzi ajaye 😆😅 haya all the best kwenye kupenda tena!Sema nina mood ya kupenda tena, nafanya window shop ya vi urembo .. watoto wa kike gold za wapendeza sana, hapa nina imagine haka namvishaa mtoa bikra, hutu nime note pembeni nasubiri siku na saa ifike 🤪🤪
View attachment 3478943
Asante, mko kiwanja gani?Karibu tupate bia😎
Na vi wimbo 😎😎Sana 💯
Wacha weeh, yani tayari unawaza vidani vya kumvisha mpenzi ajaye 😆😅 haya all the best kwenye kupenda tena!