kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 7,821
- 20,822
We bwashe.. hakuna siku unapumzika ?? Mm mara moja moja Sana weekend naweza gusa mbili tatu baasKaka leo nakunywa pombe mpaka nizime๐คฃ
Kesho ukisema tufute, tunagoma ๐ ๐Sure master , mimi na wewe tupo fani moja ya utabibu , japo mimi ni nesi na mimi ni mkunga na
wewe ni md ๐คฃ
Hahahah napumzika sana tu bwashee , ila nikipiga pesa nakula maisha kama hivi leo๐คฃ๐คฃ๐คฃWe bwashe.. hakuna siku unapumzika ?? Mm mara moja moja Sana weekend naweza gusa mbili tatu baas
Mimi ni nesi na mkunga sifuti kitu hapaKesho ukisema tufute, tunagoma ๐ ๐
Unataka kusemaje kwani? ๐Pesa haina makelele! Ogopa matapeli๐
Wewee tunapiga kelele na pesa tunazo ,kipi kiarabu hapo?Pesa haina makelele! Ogopa matapeli๐
Sawa mkuuWewee tunapiga kelele na pesa tunazo ,kipi kiarabu hapo?
Anataka kusema mshara wa milioni 4 kwa mwezi ndio pesa mingiUnataka kusemaje kwani? ๐
Mimi sio mkuu wako gademiiitSawa mkuu
Nitasema nini mie na wenye pesa zao washasema?๐Unataka kusemaje kwani? ๐
Duh mm hapana Man.... weekend tu tena nikitoka.... nisipotoka sigusi kabisa.. sometimes washkaji nawadanganya niko mbali kumbe home tu nimechill..Hahahah napumzika sana tu bwashee , ila nikipiga pesa nakula maisha kama hivi leo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ephn umesikiliza bandSawa mkuu
Sure bro ,toka kutana na wahuni , asie faa kafaa , hakuna mtu anaweza kukosa pesaDuh mm hapana Man.... weekend tu tena nikitoka.... nisipotoka sigusi kabisa.. sometimes washkaji nawadanganya niko mbali kumbe home tu nimechill..
Make najua nikienda huko ni kulewa tu๐
Hapana! Wanasema tuwe makini sana kuhusu link zinazotumwa humu kipindi hiki.Ephn umesikiliza band
Kumbe pesa ina kelele bhanaaa ๐ ๐Nitasema nini mie na wenye pesa zao washasema?๐
Kwamba uko nilivyo tuma imekuja kama link?Hapana! Wanasema tuwe makini sana kuhusu link zinazotumwa humu kipindi hiki.
๐ na ni kweli utulize tu mshono , kipenzi changu๐Nitasema nini mie na wenye pesa zao washasema?๐
Hela ya kukodi chopa sina mkuu, ninayo ya kutosha kukaa Java 5 nights tu ๐Unakodi chopaa maMtu ๐ ๐ ..
Shida si dereva, ni namna ya kufika kule ilivyo na mambo mengi, ile milima na zile kona huwa zinanitisha sana.Mie ni dereva mzuri sana, siku ingine nipee kazi ya kukupelekea, hutokjwa na wasi wasi
Ngoja nikapitie Mejiii, ๐๐๐๐Nimekuwekea maana ya ujumbe wako kule kwetu kapitie shem ๐