Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,900
Kususa susa, kudeka, viaibu aibu, hiyo ndiyo haiba ya kike. Yani ukifanya hivyo ndiyo kwanza unawavutia zaidi 😂Nimesusa sitaki tena
Kususa susa, kudeka, viaibu aibu, hiyo ndiyo haiba ya kike. Yani ukifanya hivyo ndiyo kwanza unawavutia zaidi 😂Nimesusa sitaki tena
Basi niseme nimeghairiKususa susa, kudeka, viaibu aibu, hiyo ndiyo haiba ya kike. Yani ukifanya hivyo ndiyo kwanza unawavutia zaidi 😂
Hii nayo wataigeuza na kusema, wewe ni "sitaki nataka"Basi niseme nimeghairi
Sawa kiongozi 😂 😆😅😅😅.. Zina kazi maalumu hizo
Utasema tu 😂😂😂Hahahahaa nimeshindwa kumwekea wa mbuzi
😅😅😅 ni kwel na huwa nakafuatilia kimya kimya kajinga haka🤣🤣🤣🤣
Upo kweli?
SitakiKaone
Si hii nakutumiaKawaida
mkuu una delivery nataka vyote hivyo na ni wapi ?
Ngoja niendelee kuwazoom mnavyoruka ruka nione mtaishia wapi 😆 😂ephen_ mzuri nitumie msg mama
Sawa mkuu, nitakucheki. Nipate vitu hivyoBuguruni bwashee
Mie natoka pemba shekheSawa mangi
Kweli 😎
Si hizi comments unareply, utasemaje uzioniSioni asee,mara ya mwisho kuona ni mwezi umeisha baada ya haya marekebisho
Kaza hivyo hivyo, akuhangaikie kidogo 😅 😂Si hizi comments unareply, utasemaje uzioni
Asante mkuuSawa madam mzuri ila nakuzimia aseee🤣