Hongera Kwa hatua hiyo Mkuu!Habari zenu wakuu, mi ni yule kijana mwanamitindo, nitaachia kazi yangu kwa mara ya kwanza tarehe7 oktoba 2025 inshaallah. Nahitaji sapoti kutoka kwenu wakuu, mungu awe nanyi Amina🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🙏🙏,save the date
Mashallahjumapil mubarqk 🤣🤗View attachment 3471967
Hapana mkuu nilikua na management tuka shindwana, sababu mashrti niliangalia future nikaona Hawa watan chelewesha, nijisimamie mwenyewe, fashion design ni gharama Kuna vitu natakiwa ninunue na vitendea kazi ikawa ngumu, hivo nikaona nianze na modelling kwanza mengine baadaeHongera Kwa hatua hiyo Mkuu!
Kama hautajali, ningependa nifahamu hizo kazi zako zinahusiana na mavazi ama nini?
Kila la heri though 👏👏👏
😂😂😂😂😂Watu na nyota zenu hahaha
Hakika mzeeDiaspora ya watu wa mboka naona inaongezeka..
Inasikitisha sana, usikute jamaa Razor atamfunga Negan lin yuko bize na Efutiboli hajali yanayoendelea..
Nipo natetea taifa huku😃😃🏆
Baba skNipo natetea taifa huku😃😃🏆View attachment 3472233
Kila la heri MkuuHapana mkuu nilikua na management tuka shindwana, sababu mashrti niliangalia future nikaona Hawa watan chelewesha, nijisimamie mwenyewe, fashion design ni gharama Kuna vitu natakiwa ninunue na vitendea kazi ikawa ngumu, hivo nikaona nianze na modelling kwanza mengine baadae
Shem kama shem 😂😂😂😂😂😂
Kaka ake na sk🦅Shem kama shem 😂
Kaka yake na ba tamu wa coca.Kaka ake na sk🦅
Dedi,,, kwa binti yangu mrembo Tatiana, hd kwako my dau,, ephen_ Depal ibumex Hannah ma antie zake
View: https://youtu.be/5WfJssNV2xY?si=iA-dgR2BhtSRKqLI
Kwanini bwashee nimefuta baada ya kufeli ku play
Tafadhali sana kama hauna music systems ya kijanja isiyo pungua chini ya milioni 15 usisikilize ngoma ya mchaga mmoja mimi bwashee
View: https://youtu.be/qr9-Pj3UCHk?si=C1pWsbyP5SgFH4ns
Situmii VPN..Sure now nimeelewa kuwa vpn inawanyima uhuru
Mangiiiiiiii 🤩🤩