Weee
Member
- Sep 14, 2025
- 81
- 178
😅😅 tunafurahisha sanaaaaa .. na vijana ndio hawa tunawaandaaaSiyo kwa mauno hayo mzee wa tako na nusu 🤣🤣🤣
😅😅 tunafurahisha sanaaaaa .. na vijana ndio hawa tunawaandaaaSiyo kwa mauno hayo mzee wa tako na nusu 🤣🤣🤣
Rudianeni mlee binti yenu.Pitia simu anaongea na mama Ake fresh na hasa sikuizi ndio anaongea sana maana mama Ake nae amekua na juhudi za kupiga simu. Nafsi yake imekunjuka sikuhizi mpaka ada ana changia kwa kiasi chake.( Ila ana miaka miwili hajamuona).
hahahaha siku nami ntaandika mkasa wangu jf story. Wakusisimua huo.
Formula ni ile ile, shusha kitu kwanza 🤣Selfika
Hebu nyoosha maelezo, msela gani alikuficha 😅😎Maporini mwanakwetu 😹
Dr buana 😹Sio kweriiiii ni scenerio unaweza mkakutana na mtu mka Date bila kujua..
Mimi ni mpole sana dats ibumex nilipo weka self yangu aliligundua unajua yule mkurya alikua ni mkorofi na WIVU ulio pitiliza anaweza anzisha UGOMVII USIO na maana Wala kichwa Wala miguu..
Imagine Mimi nakua cool simjibu au nam Fanya. A cool down baadae anakuja kunambia AM 4 REAL SIJAWAI KUONA MWANAUME KAMA WEWE YOUR A REAL GENTLEMAN UNAVUMILIA MAPUNGUFU YANGU.
Sasa MWANAUME anaitajii utulivu Sasa kwenye stress hakaiiiii 😊
😹😹😹 Hamna bana, msela wangu chino si yupo humu humu mnaye siku zote..!!Hebu nyoosha maelezo, msela gani alikuficha 😅😎
Ladies first.Formula ni ile ile, shusha kitu kwanza 🤣
Haya njooLadies first.
Kuna makabila siyo ya kuoa.Rudianeni mlee binti yenu.
Mi nachukia watu wanaoachana wakiwa tayari na mtoto…!!
Hivi mnajua km mnawatesa watoto?
😹😹😹 Pole sana, lakini tabia ya mtu mmoja sio ya kabila lote..!!Kuna makabila siyo ya kuoa.
Sema sisi vijana wa mjini hua hatusikii
Hiyo pic unapost saa ngapi?Haya njoo
Nimecheka sana 😂 kumbe na wewe umeungana na wale wapiga doria wa kimya kimya 🤣Hiyo pic unapost saa ngapi?
Mi nakusubiria ujue hapa..!! 😹
Sawa mamie nimekusoma!😹😹😹 Hamna bana, msela wangu chino si yupo humu humu mnaye siku zote..!!
Kuna issue nilikua nafanya ikanitolea utulivu JF
Tusubiri kidogo kuna issue namalizia nakuitaHaya njoo
Poa 👍🏽Tusubiri kidogo kuna issue namalizia nakuita
Ngoja nikupe yangu mwanakwetu Ila marufuku kusave 😹Nimecheka sana 😂 kumbe na wewe umeungana na wale wapiga doria wa kimya kimya 🤣
Siyo kwa kuwaka huko 😍😍😍😍 marufuku sijaizingatia 😅Ngoja nikupe yangu mwanakwetu Ila marufuku kusave 😹
Unafki haukupendezi 😹Siyo kwa kuwaka huko 😍😍😍😍 marufuku sijaizingatia 😅
Sijawahi kuwa mnafiki 🤣🤣🤣Unafki haukupendezi 😹
napenda sana vikuku kumuona mdada amevaa alafu mzuriSijawahi kuwa mnafiki 🤣🤣🤣