Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Diet iko vizuri unamaintain body hongeraaa! Nimeona pale kitu cha ugali samaki na mazaga kibaoooo!Kunywa maji mengi mnywani!!
Achana na ulaji wa mabroiler kama Intelligent businessman ambayo yanamfanya anaumuka kama amila na kujikuta kijeba kumbe ni kinda tu la 2004.