Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

hahaha!! Afu ujue kipindi una kamba mguuni ilikuwa wazi kabisa sijui nilifeli wapi kipindi kile.
😹😹😹 Ila pm ilivyokua wazi nilikua nashuhudia vituko sana..!!

Kuna member mmoja alinishushia li-CV lake nishindwe mimi..!! 😹
Alijileta mzima mzima, nikamjibu kistaarabu sana sihitaji mpenzi ila alinichukia mpk leo. Hata nikimkwoti comments zake ananimind ila kunijibu hawezi 😹😹😹

Waungwana wana hasira sana ndiomana nikafunga pm.
 
Wasiojulikana Kuna mda wanafanya tuwaze sivyo ndivyo!

Nikasema au huyu cute ni shyrose mwanafunzi wa chuo mbeya.

Si kawaida yake hii!
Usipokuwepo una notice dk 1 tu.
Wasiojulikana jau sana wanafanya nchi iwe ya wasiwasi wakati wote..!!

Mmezoea vurugu zangu 😹😹
Sasa hivi nitakua mstaarabu mpk mtashangaa
 
😹😹😹 Ila pm ilivyokua wazi nilikua nashuhudia vituko sana..!!

Kuna member mmoja alinishushia li-CV lake nishindwe mimi..!! 😹
Alijileta mzima mzima, nikamjibu kistaarabu sana sihitaji mpenzi ila alinichukia mpk leo. Hata nikimkwoti comments zake ananimind ila kunijibu hawezi 😹😹😹

Waungwana wana hasira sana ndiomana nikafunga pm.
hahaha!!
Ulikua unapokea pm ngapi?
Na zote ulikua unachomoa? Mimi na mwanangu sumbai tu ndio hatukuja.

Sisi waungwana sana.
 
hahaha!!
Ulikua unapokea pm ngapi?
Na zote ulikua unachomoa? Mimi na mwanangu sumbai tu ndio hatukuja.

Sisi waungwana sana.
Nyingi 😹
Sema zinachekesha wallahi 😹😹😹

Ilikuwa mtu ukimsifia kwenye comments anakufata pm kukushukuru na kuomba namba..!! Sa ndo nini? 😝
 
Si nimemuona hapo 😹
Ila una mtoto mzuri sana chinno 😍

Hiyo pisi itaumiza vichwa vya wahuni wa baadaye 😹
Naadeka kweli ngoja nikuangalizie mmoja hapa nikiwa nae uone anavyofanya.

Bora ikaumize wahuni wa mbele sio makanjanja Hawa wa bongo.
 
Back
Top Bottom