Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,923
- 41,063
😊😊😊 Honesty siku IZIII ndio nime adopt ila sinaga mzuka kabisa kabisa Kuna mkurya mmoja mkorofi nili date nae zamani ni mweusi TIII ila ana hipsi na tako la kwenda good enough last weekend kaolewa harusi nili mtolea na mchango Mimi na yeye ni washikaji ila sio wa kupasha viporoo🤣Kwahiyo weusi tukaungane na weusi wenzetu 😹😹
Sasa paja linahusiana nini na rangi? 🥹😹
Mchagua jembe si mkulima
Nimecheka kimasai 😂🤣