Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,841
Mashallah 🥰Sijawahi kuwa mnafiki 🤣🤣🤣
Hiyo costume ya red imekutoa mahi
Mashallah 🥰Sijawahi kuwa mnafiki 🤣🤣🤣
Janja msitu mzito haukatwi na kisu.Shukuru Leo ijumaa
Sitaki kutengua uzi
Askari Doria, tukifikiri tupo peke yetu kumbe mpo mmekodoa tu 🤣🤣🤣napenda sana vikuku kumuona mdada amevaa alafu mzuri
Km hivi vilivyoungana na heels je?napenda sana vikuku kumuona mdada amevaa alafu mzuri
Mahi weekend imeanza, acha tupunge kaupepo 😊Mashallah 🥰
Hiyo costume ya red imekutoa mahi
hapa naishiwa pawaaaa kabisaaaa... Mungu atukuzwe kwa uumbaji mzuri huuKm hivi vilivyoungana na heels je?
😅😅😅 zapendeza aiseee.. akiwa na ka shanga kamoja flani hivi pale kwa kiuno, zile za wa Russia, naishiwa pawaaa kabisa na kufaaaaAskari Doria, tukifikiri tupo peke yetu kumbe mpo mmekodoa tu 🤣🤣🤣
siyo kikuku, shanga za kinyamwezi hizo 🤣🤣
😹😹😹Mahi weekend imeanza, acha tupunge kaupepo 😊
😹😹😹 khaaaa..!!hapa naishiwa pawaaaa kabisaaaa... Mungu atukuzwe kwa uumbaji mzuri huu
karibu Cairo badae 😎😎...Mahi weekend imeanza, acha tupunge kaupepo 😊
Ukifanya masikhara ukatuma kapicha kengine anamwaga huyo 😂😂😹😹😹 khaaaa..!!
Upo vizuri mrembo, mguu , vidole.. unabebeka juu juu kabisaaa.. kwa aina ya mwili wako unavyo onekanaa 😎😎😹😹😹 khaaaa..!!
Lamomy mbona miguu nimeona mieupeeKm hivi vilivyoungana na heels je?
😹😹😹 Weekend muache ale kwa macho 🤣Ukifanya masikhara ukatuma kapicha kengine anamwaga huyo 😂😂
😹😹😹 uubebe juu juu uupeleke wapi kiongozi?Upo vizuri mrembo, mguu , vidole.. unabebeka juu juu kabisaaa.. kwa aina ya mwili wako unavyo onekanaa 😎😎
😅😅😅 kabla hujawaza mwenzako naingia bafuni kuoga nishakuwa mwepeeesiii... mie nikiona tu tayaaariiUkifanya masikhara ukatuma kapicha kengine anamwaga huyo 😂😂
Shanga za wa Russia ndiyo zikoje 😅😂😅😅😅 zapendeza aiseee.. akiwa na ka shanga kamoja flani hivi pale kwa kiuno, zile za wa Russia, naishiwa pawaaa kabisa na kufaaaa
Macho yako mabovu dr 😹Lamomy mbona miguu nimeona mieupee
Ulikua unatetea black
Wahenga walionaga mbali sana😹😹😹 Pole sana, lakini tabia ya mtu mmoja sio ya kabila lote..!!
Si kaanza kujirudi, kaeni chini myazungumze..!!