Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,817
Suuuuunikikuview kwa ukaribu inagoma ila ngoja nikisie sema suuš
Suuuuunikikuview kwa ukaribu inagoma ila ngoja nikisie sema suuš
Fanya ivo mnywaniKwako Tena!! Maisha haya zamani tulikua tunapita naked kabisa hapa sijui ujana
wew ni huyo alovaa trouser nyeusišSuuuuu
Aliyekuambukiza kuongea haendi mbinguni ujue! sikuhizi Umechachuka balaa mnywaniHujawahi fubaaa wewe mnywani!!
Always ni talk of the town tu
Unapita kwa speed ya nchi gani mnywani Poland USA ama France???? šSio kwa mwendo huo ni dakika sifuri shwaaaaaaa manyoyaaaaa!Suuuuu
Woow! Naombea arithi mzigo wa mama yake.Ilikuwa ya mamdo ake E
Weeee pale mwanzo hutamani tena sema ukikaa kaa unasahau maumivu unamiss tena kachangaš!Woow! Naombea arithi mzigo wa mama yake.
Sijui kwanini mtu ukizaa mtoto wa kwanza unatamani uongeze mwingine!
Mbona wote tumevaa nyeusi atiwew ni huyo alovaa trouser nyeusiš
Bado nipo mnywani šMbona wote tumevaa nyeusi ati
Hahaha sijaifikia Yako na Frester pale Dom. Kila nikikumbuka naishiwa powerUnapita kwa speed ya nchi gani mnywani Poland USA ama France???? šSio kwa mwendo huo ni dakika sifuri shwaaaaaaa manyoyaaaaa!
[Bado nipo mnywani š
šššš!š¤£š¤£š¤£š¤£Hahaha sijaifikia Yako na Frester pale Dom. Kila nikikumbuka naishiwa power
Hapa nafsi kuntuuuuu!!!š¤©š¤©š¤©š
Nikarudi na vi paseli vyangu!!šššš!š¤£š¤£š¤£š¤£
Mbavu zangu hukuu mnywani!
Spidi Haina kigeuka ileee ugeuke mnywani akuone subutuuuuš
Mimi ni yule yule wa siku zote!!Hapa nafsi kuntuuuuu!!!š¤©š¤©š¤©š
Santo sana mnywani hakika jioni yangu inaenda kuwa barrrrreeeeeeddaaa kabesa!!
šššNikarudi na vi paseli vyangu!!
Baada ya kushindwa kusafisha nyota
Una mwili mzuri mnywani huzeeki haraka!Mimi ni yule yule wa siku zote!!
Nilikua nimeazima na ki gari Cha watu ujue!!ššš
Kunywa maji mengi mnywani!!Una mwili mzuri mnywani huzeeki haraka!
Khakhakhaaa!!Unaniua kwa kicheko huku mnywani hahaa! Zile mbio sijawahi ona nusura kisigino kifike kichwani walaiNilikua nimeazima na ki gari Cha watu ujue!!