Tena mata ko yenye ukurutuHawa jamaa wanatuona mata Co sana
Nilitaka kushangaa washikaji wanafeli wapiππ ilinibana nikavua
πππ Ila maka lizurii khaaa..!!Lamomy kwenye moja na mbili, nimekutana na picha hii enzi hizo nipo school.
πππππHuyu mpwa wangu watoto wanampenda hivyo hivyo japo akijisikia tu anawazabua πππ
ππ Jamani mate uko mshunu π₯°
Anitake nani mimi, huyo Atoto mwenyewe, kaamua kunionea huruma tu ππ€£ππππ Ila maka lizurii khaaa..!!
Hivi hawakuwa wanakungβangβania mademu??
Hapo ungekuwa shule yetu ni mwendo wa ngumi kila siku kukugombania. Na ulivyo muhuni sasa bangi nyingi awwww π₯°π₯°π₯°
Atoto ana haki adate ba mtu umenyooka..!!
Maneno yako hayaendani na muonekano wako kabisaaa..!!
vijijin huku mkuuAP una laba qaliii, afu loc inaonekana ni mambeleeee.
π₯π₯π₯π₯
Uko vizuri sana umenyooka, hii sitanii naongea ukweli πAnitake nani mimi, huyo Atoto mwenyewe, kaamua kunionea huruma tu ππ€£π
Rangi ya mtume, kumbe Dear wee ni lizuri hivi?
Aaaah wapiiii!! πππvijijin huku mkuu
Yaan ni mzurii huyu BK, aoneshe na shape, ili nimalizie summary, anataka kuendana na fulani hivi humu ndani.ππ Jamani mate uko mshunu π₯°
Nyie mliumbwa saa ngapi wenzetu wazuri hivi??
Mungu kashindwa kutubless na sisi wa kaya maskini huku kwanini lakini? πΉπΉ
Subaru moja hiyo π
Dah, Atoto kanibania tu, angekuachia ukanipachika kwa binti wa zamani huenda saa hizi, vichupa ningekuwa sivitupii choooni.Uko vizuri sana umenyooka, hii sitanii naongea ukweli π
Atoto kuna siku kaniwashia mwenge nimekuchomeka kwa binti wa zamani..!! πΉπΉ
Kaniuliza we Lamomy mbona unamgawa mume wangu? π€£
Nikamjibu, βNimeona anazagaa zagaa hana mtuβ πΉπΉ
Dogo, tulia basiπππππ
Sijui hata nacheka nini, au bas.
Sitanii mkuuAaaah wapiiii!! πππ
Nimefanyaje? ππππDogo, tulia basi
Hapanaaa! Hiyo loc ni mambelee huko.Sitanii mkuu
Hakika umenifananisha...Nimefanyaje? ππππ
Hiyo picha kuna mtu nafananisha nae.
Na wifi yangu nuzulath wanaendana πYaan ni mzurii huyu BK, aoneshe na shape, ili nimalizie summary, anataka kuendana na fulani hivi humu ndani.
Kuna watu wameumbwaa nyiee. Daaah.