Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,060
- 95,617
Malipo yawe kumi na dasi, napiga kazi punda akasome mwanangu.Dogo hutaki kazi basi nenda kaingize nyimbo kwenye library ya Poor Brain Gongo la mboto, Ulongoni A
Malipo yawe kumi na dasi, napiga kazi punda akasome mwanangu.Dogo hutaki kazi basi nenda kaingize nyimbo kwenye library ya Poor Brain Gongo la mboto, Ulongoni A
Halafu kumbe kinda kabisaHuyu mbavu na mwenzie ndio walikua wanapangaji wa timu.
Miaka 29 Sasa Dunia inakimbia sana.
We mzee usi tuletee miyeyusho, 96 parefu ujue.Mwaka 96 nilikuwa nina miaka miwili tangu nistaafu kazi
Iyo picha imepigwa miaka 29 iliyopita!!Halafu kumbe kinda kabisa
si mv bukoba ili zama mwaka huo, kitambo niko rada.Iyo picha imepigwa miaka 29 iliyopita!!
Nipe heshima yangu tu mkuu: 1996 ulikua duniani. Unakumbuka vitu Gani vikubwa vilitokea huu mwaka. Haha labda ugugle
Hata nikiweka itakua kama nimeweka ili anipe helaKaka anajali! Msikilize
Tena ya kuanzia kiuononi atafurahi zaidi
Brother una AFYAUliza tena
View attachment 3465788
Shemejiirudiwe Selikavu plzzz
nambie shem wangu uko poaShemeji
kulikon sameja wanguAiseeee 😆😅🤓😊😁😂
Kimya sana tuma picha Jana sijakuonakulikon sameja wangu
Sijakuona,nambie shem wangu uko poa
Mtu wa masihara sana huyo Mzee wa hall 5. Chitchat tu siku ziende mbele na kuongeza Nuru ya sura zetuHata nikiweka itakua kama nimeweka ili anipe hela
tutumiane sameja wangu,, ufanye chap maan watu sio wengi saivKimya sana tuma picha Jana sijakuona
poleeeeeeSijakuona,
Jana nimepishana na garii la mshaharaa
Ni kweliMtu wa masihara sana huyo Mzee wa hall 5. Chitchat tu siku ziende mbele na kuongeza Nuru ya sura zetu