Asante sana mkuu!
UgaliAsante sana mkuu!
Watoto wa 2000 mmenona sana kwani wenzetu mnakulaga nini
Halafu mtoto kiuno nyingu😂😂Kwa sisis wabantu tunajua tuu kwa kuangalia juu
Bwashee umepotea sanarudia sasa...
Balaa blue...😆😆😆Halafu mtoto kiuno nyingu😂😂
Katubania toto la kibantu hili😋Balaa blue...😆😆😆
Jitahidi upate...hahahNimetafuta picha nipost nakosa kabisa
Ila min una vituko! Miwani imefikaje juu ya kofia😂Ngoja nipost za wanangu tu 😅View attachment 3465611
Hiyo sio mimi wewe😂Ila min una vituko! Miwani imefikaje juu ya kofia😂
Ni wewe! Lionee🤣Hiyo sio mimi wewe😂
Umejuaje🤣🤣🤣( kwa sauti ya mboneke)Ni wewe! Lionee🤣