ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,256
Kwa mavunde nimefika na mizigo nimetuaUko Kwa mavunde au ushasepa?
Kwa mavunde nimefika na mizigo nimetuaUko Kwa mavunde au ushasepa?
Hahahaha itakua sio wewe kama mimi😅Ahahah😆😆😆 na peps baridiiii...
Mbonq mm hapo kwny comment pale kwny kuweka imoj zinagoma inakubali tuu thanx zile zingine hazitokei au cm yangu hii iphone 16 🤪🤪kimeo
Basi nitakusabahi kwa wakala umpe zawadi dogo...Kwa mavunde nimefika na mizigo nimetua
Imetokea kwa sasa...😁😁😁😀Hahahaha itakua sio wewe kama mimi😅
Katupunja huyu mtoto bwasheeUna dogo Bomba sana! Ni Mali si masihara
Hii jamani sijui hata nisemajeBasi nitakusabahi kwa wakala umpe zawadi dogo...
Hahahhaha nakula bia hapa kapita mtoto wa kilatini anajambia mbali sio poa😪Imetokea kwa sasa...😁😁😁😀
Unapenda kunichokoza subiri nikutafutie banKatupunja huyu mtoto bwashee
Duuu fungeni tinted muendelee kula bia...Hahahhaha nakula bia hapa kapita mtoto wa kilatini anajambia mbali sio poa😪
Nisamehe ephen ,ila najua wewe kuniombea ban hauwezi 😂Unapenda kunichokoza subiri nikutafutie ban
Nimeshatandika shots za kutosha za camino tequila kule counter hapa nawachora wanywa soda..Mbona sioni kinywajii changamshii 🥃 naona soda soda tena tatu KWA mpigoo
Soon..Umeonesha upendo! Muamala siwezi kuukataa ni baraka za mjukuu wa Melo hizo.
Safi sana bwasheeNimeshatandika shots za kutosha za camino tequila kule counter hapa nawachora wanywa soda..
AsanteSoon..
Maliza utata tu hahaUnapenda kunichokoza subiri nikutafutie ban
Ephen , nipe tofauti ya picha zangu za sasa na zile za umatumbiniAsante
Umatumbini ulikua bonge la bwana huko ulipo unawafatisha wazungu mambo ya dietEphen , nipe tofauti ya picha zangu za sasa na zile za umatumbini
Sawa, lakini itabidi umpe wifi…Naomba hiyo saa.