Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,311
- 37,074
Nakusalimia kwa jina la jamuhuri ya muungano 😊Yess ila jicho moja pia haiwezi kukutambulisha macho 2 unajulikana...
Nakusalimia kwa jina la jamuhuri ya muungano 😊Yess ila jicho moja pia haiwezi kukutambulisha macho 2 unajulikana...
Hamjawai kuishii kabisaa kabisaaaWanywa soda tunapataga wakati mguu sana tukiendaga bar!!
Tukinywa maji shida pia.
India tena😂😂 hapa kibosho sio mbali ujueSasa tutakutania wapi nipo Lindi wewe upo India
Nataka unambie kwanini unacheka comment zanguu 😂🤣Sasa tutakutania wapi nipo Lindi wewe upo India
Kaka nimetoka job nimechoka nikaona nichambe koo kidogoKaka weekend ndeeeefuuuu imeanzaa kaka 😊 😊
Mimi pia nataka nitafute sehemu nipige chair fire na KONYAGIIII NDOGO MOJA THEN NIENDE HOME NIKALALE.Kaka nimetoka job nimechoka nikaona nichambe koo kidogo
Kazii iendeleee huku tukiburudika...Nakusalimia kwa jina la jamuhuri ya muungano 😊
Kaka siku nikibahatika kuja dar na mafuso ya msiba nitakutafuta tulewe bwasheeMimi pia nataka nitafute sehemu nipige chair fire na KONYAGIIII NDOGO MOJA THEN NIENDE HOME NIKALALE.
Kuna mda unafika; unashindwa uchukue nini; Mimi najichukuliaga ki grand Malta changu na maji yangu over.Hamjawai kuishii kabisaa kabisaaa
Unaburudika na azam juice wewe🤣Kazii iendeleee huku tukiburudika...
Kwema mdau...😆😆
Ahahah😆😆😆 na peps baridiiii...Unaburudika na azam juice wewe🤣
Uko Kwa mavunde au ushasepa?Selfika
Mara ya ngap?Selfika