Duh ungeacha hata sikio basi au shavu mnakwama wapi? Hujaona ya ephen?.ndo tunatkiwa tutume hivyoNi ya rafiki yangu hiyoView attachment 3465614
Sisi tunaonekana wahuni wachezeaji hahahaHahahahaha
Hivi kwani kwa hiyo picha tukikutana utaweza kunijua?Duh ungeacha hata sikio basi au shavu mnakwama wapi? Hujaona ya ephen?.ndo tunatkiwa tutume hivyo
Naomba hiyo saa.Mkuu.. Umeniita mimi au binti wa zamani maana watu wanatuchanganya hizi ID.
Mi bado nipo kitaa View attachment 3465142
Aah wapiii....Hivi kwani kwa hiyo picha tukikutana utaweza kunijua?
Hahaha acha waseme tu bwashee, nahisi ni dressing code labda , kuna siku nitaulamba suti watatubu😂Sisi tunaonekana wahuni wachezeaji hahaha
Hij ni pombe gani bwashee
Hapo sawa!🤣 Sehemu ya macho ndo huwa yanamfanya mtu atambulike kwa urahisiAah wapiii....
Si nimeshatuma 🤣Why?hebu itume nione mm ji jasusi nitakwambia ni ww au la
Yess ila jicho moja pia haiwezi kukutambulisha macho 2 unajulikana...Hapo sawa!🤣 Sehemu ya macho ndo huwa yanamfanya mtu atambulike kwa urahisi
Mimi nitakujua😅😅😅Hivi kwani kwa hiyo picha tukikutana utaweza kunijua?
Hyo ambayo umejaza emoji uso mzima?Si nimeshatuma 🤣
Mbona sioni kinywajii changamshii 🥃 naona soda soda tena tatu KWA mpigoo
Kaka weekend ndeeeefuuuu imeanzaa kaka 😊 😊Mimi nitakujua😅😅😅
Wanywa soda tunapataga wakati mguu sana tukiendaga bar!!
Sasa tutakutania wapi nipo Lindi wewe upo IndiaMimi nitakujua😅😅😅