Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,413
- 94,791
😹😹😹Umeikataa picha mazima😂🙌😂🙌😂
Ngoja tu nije kukuonyesha Nkamu
Siwezi kuona pekeyangu Wakongwe wa uzi iwapite
Sipendi mwanaume kuringa ringa yani sijui naonaje..!!
Halafu unakuta picha yenyewe sio yake anatupanga na bado alete pozi mfyuuu..!! 🤣😹
Wakinga washapanda tayari 😹😹