Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,918
Hapo ukimaliza unashushia na bange 😹Bwana Harusi.View attachment 3465052
Sema JF kuna mahanshamu 😍
Hapo ukimaliza unashushia na bange 😹Bwana Harusi.View attachment 3465052
Bange sivuti mkuu😀😀Hapo ukimaliza unashushia na bange 😹
Sema JF kuna mahanshamu 😍
Hao kausha damu ofisi zao zinapatikana wapi? 😹Bange sivuti mkuu😀😀
Hao wapo Dodoma-Bambalaga.Hao kausha damu ofisi zao zinapatikana wapi? 😹
Kasome uzi wa Don Bill kwanza 😃😃Si shemeji tunae tayari, unachelewa nini? 😂
Bambalaga tena😃😃🙌Hao wapo Dodoma-Bambalaga.
Ndio ukifika utakutana na bango lao hapo kuubwa nafikiri bills zikikushinda kulipa wanakukopesha pia😀😀Bambalaga tena😃😃🙌
Nitawatafuta 😹Hao wapo Dodoma-Bambalaga.
Mimi siweki tenaaHaya
Lete hela picha irudiwe na Ibu
💯💯💯Huyo mbona kitambo bwashee
Mmh.Ibu picha yake sikusave ila ni mwenyeji selfika na JF kwa ujumla 😹😹😹
Huyo dr achana naye na picha lake 🤣
😹😹😹mtanisumbua PM,
aii eti Dr am 4 real PhD ebu toa ukakasi hapa,,, mimi ni nani yako?Mi sio mtoto 😹
Hapo si kuna maafisa bamia wana kambi yao hapo😃😃aseee kwel kazi ipo😃😃🙌Ndio ukifika utakutana na bango lao hapo kuubwa nafikiri bills zikikushinda kulipa wanakukopesha pia😀😀
Hapo dada zake na baba mlima.Hapo si kuna maafisa bamia wana kambi yao hapo😃😃aseee kwel kazi ipo😃😃🙌
Ukishindwa kulipa unafata mkopo safi kabisa😃😃🫡Hapo dada zake na baba mlima.
Hivi umeshaselfika?Ukishindwa kulipa unafata mkopo safi kabisa😃😃🫡
Shemelaaaa😊😊aii eti Dr am 4 real PhD ebu toa ukakasi hapa,,, mimi ni nani yako?