makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,511
- 108,667
Halafu sijawafatilia mjukuu wangu, nimeona umecoment 1st born, nikacheka maana nakujua mjukuu wangu, bado hujaniletea kitukuu 😂lazima mchanganyikiwe🤣🤣🤣 ukome kutufuatilia babu😆😆😆
Hiyo ya babe nikaiona chini yake