win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,813
- 29,891
๐๐๐๐๐๐๐๐ hanitaki mimi,, ila alikua ananiseduce nimpe yule last born wetu jamaniNakuona unampanga ili umuharibie usichana wake ๐น๐น๐น
๐๐๐๐๐๐๐๐ hanitaki mimi,, ila alikua ananiseduce nimpe yule last born wetu jamaniNakuona unampanga ili umuharibie usichana wake ๐น๐น๐น
bado nafata ushauri wako da mkubwa, siwez kukuangusha,,,Kina Dr manyau nyau waongo we haya kenua meno ๐น๐น
Eeee Kaka kikubwa niombee nitoke salama maana kwa kibunda kilichoandaliwa sisi makada kunywa nasikia ni kikubwa hivyo niombee nizidishe mianisikia magazetini maana nilivyokamia sijui .Kaka Leo mtaupiga mwingi nakubalia Kila kitu.
๐๐
Unazingua broMi nimekuona wewe, sasa unakataa nini wakati unaonekana hujatumika sana mrembo ๐น๐น
๐น๐น๐น mchukue min tukamilishe dili letu la kuimport mitumba..!!bado nafata ushauri wako da mkubwa, siwez kukuangusha,,,
ila bebi wangu si unamfaham jamni au
Nazingua nini mrembo wakati unaonekana yutiayi umeugua mara 3 bado mali safi kabisaa..!! Eti mrembo ๐น๐นUnazingua bro
huyo hapana๐ asante kwa ushauri๐๐น๐น๐น mchukue min tukamilishe dili letu la kuimport mitumba..!!
kwahiyo nimefanana na ng'ombe mpka uniweke muhudumu wao,,, sijapendaaAtaenda moshi kuhudumia ng'ombe na nguruwe mimi nikija nikutupia mimba na kusepa mpaka akome.
๐น๐น๐น Hatutaki anakuja huko huko, tunataka mtoto akizaliwa apate uraia wa huko..!!Ataenda moshi kuhudumia ng'ombe na nguruwe mimi nikija nikutupia mimba na kusepa mpaka akome.
Unapinga kikao cha halmashauri kuu ๐น๐นhuyo hapana๐ asante kwa ushauri๐
Wapi nimesema umefanana na ng'ombe, ? Wewe ulisikia wapi huwa sisi tunafatana na mke kama nyumbu?kwahiyo nimefanana na ng'ombe mpka uniweke muhudumu wao,,, sijapendaa
dada haujaona kasema atanifanya mchunga ng'ombe na nguruwe๐ญUnapinga kikao cha halmashauri kuu ๐น๐น
subiri kwanza nipate mwanasheria wangu ndo nitarudi kujibuWapi nimesema umefanana na ng'ombe, ? Wewe ulisikia wapi huwa sisi tunafatana na mke kama nyumbu?
Anaona utafaidi kuku wa bure abroad, huyu diaspora mchoyo sana..!! ๐น๐นdada haujaona kasema atanifanya mchunga ng'ombe na nguruwe๐ญ
Kunywa kistaarabuu kaka maisha yapo kaka tunywe kistaarabuuEeee Kaka kikubwa niombee nitoke salama maana kwa kibunda kilichoandaliwa sisi makada kunywa nasikia ni kikubwa hivyo niombee nizidishe mianisikia magazetini maana nilivyokamia sijui .