cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Hizi nongwa sasa mejiiiii. Waja wa JF wanakukajeee? .
ππππππ
Hizi nongwa sasa mejiiiii. Waja wa JF wanakukajeee? .
Kaka Mtoto ana mikono milaaini, kama vile haitumiagiFala sana π
We huoni kule tag zilikuwa nyingi shemeji kila mtu anakutaka πHizi nongwa sasa mejiiiii. Waja wa JF wanakukajeee? .
ππππππ
Tumuache ndugu yetu afurahie matunda ya mtoto laini cocasticKaka Mtoto ana mikono milaaini, kama vile haitumiagi
πππππWe huoni kule tag zilikuwa nyingi shemeji kila mtu anakutaka π
Mapaka shume yanakumendea siye tutaweka ulinzi kwa ajili ya kulinda usalama wa mali ya ndugu yetu π
Shemeji sisi tumebariki labda ulete vipengele wewe ππππππ nyie nyiee? Nawazoom tyuuh
Kipengele si huyo ndugu yenu hanitakiii.Shemeji sisi tumebariki labda ulete vipengele wewe π
Selikavu embu sema ulichotuambia nama unavyomuelewa shemeji yetu ili apate amani ya moyo.πππππ
Sasa ndugu yenu mwenyewe hanitakiii.
π’π’
Mbona yeye kashakukubali shemeji, hana baya ndugu yetu.Kipengele si huyo ndugu yenu hanitakiii.
πππππ
Huoni kaweka emoji ya kushangaa, ume sikia wapiπππππππ
Sasa ndugu yenu mwenyewe hanitakiii.
π’π’
Wee em sema kweliiii!! πππMbona yeye kashakukubali shemeji, hana baya ndugu yetu.
πππ
Nimeona, unajua nimecheka sanaa, ila SK.Huoni kaweka emoji ya kushangaa, ume sikia wapiππ
Vimba shemeji πWee em sema kweliiii!! πππ
Woyooooo!!Vimba shemeji π
Kuna vitu vya kukataa ila siyo wewe πNimeona, unajua nimecheka sanaa, ila SK.
πππππ
We mgese una zidisha Sasa ππKuna vitu vya kukataa ila siyo wewe π
Selikavu njoo unene ya kumoyo kaka πNaomba aseme yeye mwenyewe. ππππ
Kaka ua hilo unaanzaje kulikataa kwa mfano? πWe mgese una zidisha Sasa ππ